mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

    Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
  2. JamiiForums Tanzania Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

    UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na hakutokani na hali ngumu ya Maisha. Uchaguzi wa Mtu hutokea ndani Kabisa ya nafsi ya Mtu na Wala sio...
  3. JamiiForums Tanzania Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zipi fani zinazotolewa na veta kwa sasa ni nzuri kwa mabinti

    Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili mabinti wa Kimeru pokeeni maua yenu

    Kimaumbile mabinti wa kimeru wapo na siha njema sana. Wamebarikiwa pakubwa sana kimaumbile. ni dream come true kwa wanaume wengi. Wana shingo ya upanga na sura flani nzuri za kupigia picha (photogenic) ni walimbwende kwelikweli ni warefu ule urefu usiokera kama wa wale watu flani wana weupe...
  6. JamiiForums Tanzania Sio kila mwanaume anaenda chooni kujisaidia, wengine kuangalia Salio. Mabinti kuweni makini sana na hizo ofa mtalia

    Hili ni angalizo kuelekea wikendi. Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio lililobaki. Wengine wakiona bili ni kubwa, wanatafuta njia ya kutokea karibu na choo. Nawaambia...
  7. JamiiForums Tanzania Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  8. JamiiForums Tanzania Dhana ya kuchunguzana kabla ya kuona ina tumiwa na wanaume kuchezea na kupotezea muda mabinti za watu

    Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina lingine tuite uchumba sugu. Lakini cha kushangaza kwenye huu ulimwengu wa kisasa ambao watu...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mabinti, kuna la kujifunza hapa

    Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake. Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line...
  12. JamiiForums Tanzania Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni sifa za wanawake au mabinti kutoka Mafia

    Natanguliza Salam kwenu wadau wa jukwaa hili Kama kichwa kinavyosema naomba kujuzwa kwa wale wanao fahamu sifa au characteristics za wanawake kutoka kisiwa cha mafia. Ndugu yenu nataka kujua mbili tatu kabla sijawekeza hisia na resources pia.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

    Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
  15. JamiiForums Tanzania Mabinti wanalilia NDOA lakini hamziwezi

    Mnakesha kwenye nyumba za ibada kuomba waume wa kuwaoa. Ila mkishaolewa mnazidisha kiburi, umalaya, uvivu na uchafu wa mwili. Hiyo NDOA itadumuje?
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9. Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

    Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend. Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri...
  18. JamiiForums Tanzania Ongezeko la mabinti (wanawake) waliochora tattoo sehemu mbalimbali za miili yao, nini tatizo? Haliwezi kuhatarisha makuzi ya mabinti wa kesho?

    Habari ndugu wana jamvi, Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine. Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao. Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure kwa Mabinti

    Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa. Unapowadanganya wanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…