mabeyo

Venance Salvatory Mabeyo is a Tanzanian chief of defense forces (Mkuu wa majeshi).

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

    Sijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo. === Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache. Baadhi ya picha kutoka Vatican...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  3. M

    Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  4. saidoo25

    Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

    "Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo." - Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini. CC: swahilitimes
  5. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  6. S

    The dark side of general Mabeyo

    Lots of praises and congrats have been waved to general Mabeyo since the public was notified for his retirement till today. Yes he deserves some, but not as much as it is exaggerated by praise singers. The main verse of their praise song to gen. Mabeyo is that he protected and defended the...
  7. J

    Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

    Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni Source ITV habari
  8. Mr Dudumizi

    Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

    Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Ki ukweli taifa na dunia kwa ujumla...
  9. Roving Journalist

    Mkuu wa Majeshi CDF Mabeyo anaweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Gofu

  10. Ngongo

    Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  11. JanguKamaJangu

    CDF Mabeyo: Natamani Jeshi letu liwe la kisasa, tutengeneze zana zetu

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema anatamani Jeshi letu liwe la kisasa zaidi na liweze kuchangia uchumi wa nchi na liwe la kujitegemea ‘sustainable military’. “Kwa nini wenzetu wanatengeneza zana kutuuzia sisi, na kwa nini na sisi tusitengeneze zana za...
  12. Greatest Of All Time

    Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu. Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
  13. K

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  14. sajo

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza. Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo...
  15. M

    Rais Samia ikikupendeza muongezee muda CDF General Mabeyo

    Rais wangu Samia Suluhu Hassan nitafurahi mno kama ukikataa CDF General Mabeyo asistaafu sasa bali nakuomba muombe umuongezee muda mpaka 2025 na ikiwezekana pia nenda nae hadi 2030 ikikupendeza. Ameliheshimisha JWTZ na ni Jemedari sahihi, makini na aliyetukuka kabisa. Tafadhali usiiache hii...
  16. Analogia Malenga

    Mabeyo: Jeshi libuni miradi kuisaidia Serikali

    MKUU wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vikosi vya jeshi kutumia wataalamu wa ndani kubuni miradi ya kimkakati na kuhimiza uadilifu kwenye miradi iliyokamilika. Mabeyo alisema hayo wakati wa kuzindua kituo cha mafuta cha R971 kilichojengwa na jeshi eneo la Ihumwa. Alisema jeshi kama...
  17. C

    Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
  18. M

    Natamani na Misafara ya Marais wetu nayo iwe ni midogo kama niliyomwona nayo leo CDF Gen. Mabeyo akielekea Kwake Kawe Beach

    Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa. Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
  19. Camilo Cienfuegos

    Jenerali Venance Mabeyo miongoni mwa Wazalendo wachache kuwahi kutokea jeshini

    Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla. Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na...
  20. VUTA-NKUVUTE

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
Back
Top Bottom