mabehewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TRC yaanza kuunda vichwa vya treni za MGR nchini, yawa nchi ya kwanza katika Ukanda wa Afrika Mashariki kufanya hivyo

    Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
  2. Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  3. A

    KERO Mabehewa ya Treni ya TAZARA yamejichokea, yanatumika hivyohivyo, hii ni hatariiii!

    Serikali isikie kilio cha abiria wanaotumia Reli ya TAZARA, wanapitia changamoto zisizoelezeka kutokana na ubovu wa mabehewa, tuliahidiwa mabehewa mapya lakini hadi sasa kimya na muda unazidi kusonga mbele. Pia, tuliambiwa Wachina wanakuja lakini tangu Mwaka 2025 hadi leo kimya, treni ya abiria...
  4. R

    Rais Samia: Wadau wa Sekta Binafsi wapewe nafasi ya kununua vichwa vya Treni na Mabehewa ili Reli itumike kikamilifu

    Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia...
  5. Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

    Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
  6. Yale mabehewa ya SGR ya ngazi mbili yapo wapi? au tulishapigwa na kula hasara?

    Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea...
  7. TAKUKURU itendeeni haki nchi kwa kuchunguza ubora na gharama za injini na mabehewa ya treni ya SGR

    Tangu treni za DGR zianze kufanya kazi baadhi yetu tuliowahi kuingia ndani ya mabehewa hayo tumekuwa na mashaka ya upya wake, muonekano wa ndani si wa mabehewa mapya ni wa mabehewa ya miaka iliyopita yakizidiwa usasa na mabasi ya safari za mikoani kwa ubora wa viti na sehemu za kuchaji simu!
  8. Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
  9. Kwanini wanaJF tusinunue kichwa kimoja cha SGR na mabehewa 8?

    Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii. Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu, tukusanye hela halafu...
  10. Mliopanda SGR eti ni kweli kuwa sehemu ya 'Kuukweka' katika Mabehewa yake ni kama vile uko White House Marekani?

    Yaani unaweza 'Ukaukweka' huku ukiwa unakula Chakula chako Safi huku kwa nje ukiwakodolea tu Bundi na Ngedere.
  11. TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    TAARIFA KWA UMMA KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024 Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
  12. Mkurugenzi TRC: Tutaruhusu Wawekezaji binafsi kwenye Mradi wa SGR kuingiza Vichwa cya Treni na mabehewa yao

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
  13. A

    DOKEZO Upunguzwaji wa Mabehewa kiholela (Treni za Mwakyembe) unahatarisha Usalama wetu

    Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria. Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza. Tunaombeni mtufikishie ujumbe huu. Hizi picha zinaonesha namna...
  14. R

    Vichwa 3 na mabehewa 27 yaingia nchini; kuanza kufanyiwa majaribio hivi karibuni

    Serikali imeingiza nchini Mabehewa 27 na vichwa vitatu vya treni kwa ajili ya kuanza majaribio ya SGR. Ni yapi maoni yako kuhusu kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na JPM? Je, waliolalamika kuwa mabehewa ya awali siyo ya SGR wanakauli gani leo? Hongera Mhe. SSH kwa...
  15. S

    Tanzania tunaweza kuwa na wataalamu wa kuchunguza mitumba ya ndege, reli, mabehewa na vichwa vya treni?

    Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu. Je, wewe hapo uliopo, unaamini tunao wataalamu wa kukagua vifaa kama hivyo? Je, si kweli kuna wakati itahitajika teknolojia katika...
  16. Wamesusa Mabehewa ya Ghorofa yaliyofika, Watanganyika wanalia kuuzwa kwa Bandari yao

    Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania. Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda. Gafla wakatoa mkeka wa...
  17. R

    Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  18. Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi

    Mzabuni wa bei nafuu alitenda Dola 263 Wakamchukua wa Dola 478. Kwa Hali hii Masanja anapendwa kuwa Ofisini Kwa Ajili ya nini? Hawa wezi wasiishie kufutwa kazi tuu Bali wafikishwe Mahakama, TAKUKURU mnafanya nini? --- SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) linakabiliwa na changamoto katika...
  19. R

    Mabehewa mapya 22 ya reli ya zamani yaanza safari kuelekea Kigoma

    Dar es Salaam. Ujio wa mabehewa mapya 22 yanayotumika reli ya kati na kaskazini umeleta matumaini ya uhakika wa usafiri kwa abiria wanaosafiri kupitia njia hizo. Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 15, 2022 asubuhi Balilusa Kitunda akiwa stesheni ya Kamata tayari kuanza safari...
  20. S

    Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…