Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi
Mawasiliano. 0672701329
Nahitaji pc 50 hivi
Asante...
Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba.
Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada.
Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF.
Lakini kuna hoja kwamba ALAF anauzia brand,kwamba kuna kampuni nyingine nzuri zinafanya vizuri lakini hazina...
Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali.
Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
BALOZI PINDI CHANA AKABIDHI MABATI 144 SHULE YA SEKONDARI YA YAKOBI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekabidhi Mabati 144 katika Shule ya Yakobi Sekondari Mkoani Njombe.
Mhe. Pindi Chana amewaasa wanafunzi wa Shule ya Yakobi Sekondari kusoma kwa bidii...
Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo.
Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
Nimepita mara kadhaa kwa mbali na kwa karibu ila hii nembo mpya ya madini ya Tanzanite iliyowekwa mbona sivyo nilivyotegemea kabisa.
Nilijua itatengenezwa hata kwa yale madini ya kioo flani ili jua likipiga hata inareflect au kushine kidogo ila badala yake iko so dull hadi nikajiuliza huenda...
ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka
○aina za mabati tuliyonayo
migongo midogo
migongo mipana (IT4 ,IT5)
milano tiles (vigae)
Usafiri ni bure hadi site ,punguzo la beimisumali lipo kwa mteja wa...
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha,
Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
Wakuu kwema,
Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu imewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125,280 baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango.
Akizungumza na waandishi wa...
Wadau naomba tujuzane mbinu za kupata bati za kampuni bora kabisa ili tuokoane kwa hasara tunazozipata mara kwa mara.
Maana kuna utitiri wa viwanda vya mabati jambo ambalo limepelekea tunapaua nyumba zetu kwa kununua bati kichwa kichwa,bati zenyewe zikipigwa na jua miezi 6 tu zinapauka balaa...
Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
Salaam wakuu.
Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer.
Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya kupanga.
Nikahamishia research JF nikakumbana na bwana mmoja ndege JOHN aliyewahi kuwa na wazo kama...
Wanajf mwaka huu nilifanikiwa kupata kibanda changu cha kuishi, tatizo nilipiga bati mwezi wa 9 mwaka Jana. Leo mvua zinanyesha kwa wingi, ninavujiwa kwenye zile "angles"za miinuko ya mabati Kama mjuavyo uezekaji wa kisasa!
Ushauri wenu nini kifanyike!Msaada wa mawazo tafadhali.
Wakuu habari,
Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake.
Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.