mabati

  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

    Hapo vip! Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, unayafahamu mabati ya WAJA?

    Habari wadau?!! Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi. Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati...
  3. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

    Safal Building Systems Business Head Manish Garg demonstrates to Machakos County Deputy Governor Francis Maliti Steel coils going through profiling Surf building for pre engineered buildings Mabati Rolling Mills (MRM) Off Mombasa Road) October 1, 2020. Image: CHARLENE MALWA Mabati Rolling...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mabati used Mbweni JKT

    Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie...
Back
Top Bottom