Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake.
Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard...
Karibuni KINGLION INVESTMENT COMPANY LIMITED, njoo ujipatie mabati bora kwa gharama nafuu kabisa, mabati aina zote yanapatikana.
Pia tunatengeneza coil za mabati, karibu ujipatie coil za aina zote, coil za mabati yenye rangi na coil za mabati ya kawaida (Zinc coated).
Usipate shida kuagiza coil...
Karibu Sunbank Ujipatie Mabati kwa bei rafiki .
Tupo na Aina zifuatazo za Mabati
Tupo na Aina zifuatazo za Mabati.
1. Gloss ( Mtelezo )
2. Rich tile
3. Ridge /Valley
4. Matte (Chenga chenga )
Call +255 675 335 081
Bei zetu
Location :- DSM-Banda la ngozi karibu na...
Karibu Sana ofisini kwetu ujipatie Mabati bora na ya kisasa kutoka Sunbank.
Tupo na aina zifuatazo za Mabati
1. Gloss ( Mtelezo )
2. Rich tile
3.Ridge /Valley
4. Matte (Chenga chenga )
Karibuni sana bei zetu ni rafiki Sana
Mawasiliano +255 786 017 371 Normal call and WhatsApp
Location...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango.
Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
Mambo vipi maboss, natumai mko poa.
Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.
Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake.
Nataka...
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
Karibu Polaris Building Material! Tunapatikana Mbezi Beach Africana na Tabata Matumbi. Pia tunatuma bidhaa mikoani. Mabati kuanzia TSh 20,500.
Kwa mawasiliano zaidi tucheck PM
Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu?
Naomba kufahamishwa.
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mbunge Cherehani akabidhi baiskeli kwa wakulima 40 ziwasaidie kufatilia mwendo uzalishaji...
Mabati imara kabisa ya kisasa polaris*
Warrant miaka 10
Delivery popote tanzania Unafikishiwa popote pale ulipo Tanzania
Bati kutoka moja kwa moja kiwandani
Bei za viwandani kabisa m
Gauge 28 25000tsh tu na gauge 30 21000tsh tu
Weka order yako
Wasilana na sisi zaidi
+255742892195...
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
ALAF Limited (Tanzania), moja ya makampuni yanayoongoza katika kutoa suluhisho kwa ujenzi imekabidhi mabati yenye thamani ya Sh35 milioni kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kusaidia mradi wa ukarabati wa taasisi hiyo.
Akikabidhi msaada huo MOI, Ofisa Mawasiliano na...
Naombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali 🙏🙏🙏
BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE.
Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
hawa ni ANDO g30 ni 18500
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311
hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .
Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani).
Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid).
Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.