maaskofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Maaskofu na Watumishi wa Mungu acheni kuhubiri siasa kwenye nyumba za Mungu mnajitesa bure pia mnatupotezea muda wetu Bora tungekaa nyumbani tu

    Mimi siwezi kuhama chama kisa eti Askofu au kiongozi wa dini kahuburi blah blah zake, kuonyesha hisia zake kwenye chama fulani, hizo ni paniki zake hazihusiani na mstakabali wa chama changu. Unakuta mtumishi wa Mungu anawasengenya watu kwenye madhabahu ya Mungu mpaka unajiuliza hivi anajua...
  2. N

    Kama ni Mwenyezi Mungu alietuumba tuwe na matamanio ya kimwili sio sahihi kwa maaskofu na masista kuishi bila ndoa, ni kudharau uumbaji

    Kwa binadamu mwenye afya hasa kijana ni lazima apate matamanio ya kimwili, kwa kiingereza huitwa Libido, kwa kiswahili kuna majina kama Nyege, Upwiru, Midadi. Njia sahihi ni kuutoa kupitia tendo la ndoa kwa wanandoa. Hawa ma Askofu na Ma Sista wanaoishi bila ndoa inamaanisha moja kwa moja...
  3. U

    Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

    Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa. Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko...
  4. THE BIG SHOW

    Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    Friends and our enemies, Naanza na maaskofu, nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana.. Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi? Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu. Ni kazi yenu...
  5. chiembe

    Mtume Bashanda ajiapiza kupambana na maaskofu na manabii njaa na matapeli wanaosambaza ujumbe wa chuki

    Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
  6. Waufukweni

    Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
  7. kavulata

    Maaskofu na Masheikh ni raia pia, tiini mamlaka bila shuruti

    Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka. Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la...
  8. funaku

    Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

    Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
  9. Lord Denning

    Kutoshiriki Maaskofu wa Dayosisi zingine za KKKT Harambee ya leo inatakiwa kumpa ujumbe mkubwa sana Mtawala na Askofu Malasusa

    Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu. Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na washirika wakuu wa KKKT ambao ni Baraza la Maaskofu Katoliki ( TEC) Tofauti kubwa iliyoonekana leo...
  10. Subira the princess

    Pastor Abiud Misholi: Maaskofu acheni kujipendeza Ikulu, matakuja kusababisha mabaya makubwa sana katika nchi

    Wasalaam Kuna kipindi Watanzania huenda watakuja elewa na waelekee wapi. Msikilize Watumishi wa Mungu msigeuke kuwa wapendekezaji mnapopata nafasi ya kuakaa na waheshimiwa waambie ukweli. Ninyi Maaskofu mnaupenda kula vitu vya Ikulu, matakuja kusababisha mabaya makubwa sana katika nchi
  11. G

    Maaskofu katoliki kataeni rushwa ya wanasiasa

    Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani. Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii sio rushwa ya kumfunga mdomo na kupora uhuru wake? Igeni wenzenu wa Kenya
  12. Just Pray

    TEC: Makao makuu ya baraza la maaskofu yamevamiwa na heshima ya taifa imejeruhiwa

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile. "Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
  13. mshale21

    Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

    Saalam! Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali. Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  15. TheMaster

    Lissu na Samia, Maaskofu na Mashekhe

    Nimesoma kitabu cha CRASH OF CIVILIZATION AND REMARKING OF NEW ORDER cha mwandishi nguli Samwel P. Huntington juu ya namna gani watu wamekuwa na ustaarabu mpya wa kujuana na kutambuana aidha hata kuhishimiana kutokana na dini zao kuliko hata tamaduni zao. Mwandishi alianza kwa kunishtua mtima...
  16. JanguKamaJangu

    Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  17. THE BIG SHOW

    Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  18. C

    Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unajiuliza nini kimetokea! 1. Askofu Pissa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki). 2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara. 3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms...
  19. Benson Mramba

    Maandamano ya Tume huru yaongozwe na maaskofu na Masheikh

    Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania. Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi. Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye...
  20. Now and then

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu . Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Back
Top Bottom