Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu?
Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa.
Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
Herini ya Sikukuu ya Noeli wale wote wanaosherekea siku hii nzuri ya kuzaliwa kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo.
Ni mwendelezo wa kauli za kibaguzi zenye mlengo wa kuibua chokochoko za kidini ila uzuri hiki ni kizazi cha wanaojielewa.
Mimi rafiki yangu ni Mwisilamu, anayenikopesha nikiishiwa ni...
Lugha za mipasho zilitamalaki
Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki
Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko kuwaita wavaa majoho
Yaani maaskofu wanaoongoza zaidi ya robo tatu ya wananchi wote kiroho unawabagaza na...
Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio!
Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini!
Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU.
Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia!
Ni kipofu...
Hao wanaosema maaskofu walikaa kimya walikuwa wanajua kuna teknolojia ya Internet ? walidhani tupo zama za mawe mambo yanasahaulika kirahisi ?
MAUAJI YA PEMBA 2001
Tanzania: Religious Leaders Plead For Tolerance
Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001
Magufuli akiwa Rais walilaani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
Kiongozi wa dini yako umemuona?
Wakuu,
Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe.
"Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA walisema wanaenda kukinukisha, wanaenda kufanya uasi wanaenda kuvuruga Uchaguzi. Maandamano yanatoka...
Friends and Our Enemies,
Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo.
Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy
Mtanzania Mzalendo.
Utangulizi.
Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu chajieleza, naomba mwenye tamko atuwekee tuone Hawa maaskofu wa kikatoliki waliongea nini baada ya Lissu kupigwa risasi tuone. Maana mm sikuona tamko lolote
#AMANI NI UCHUMI TUILINDE NA KUITUNZA
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao;
Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu
Hakuna hata siku moja utamkuta dikiteta yuko mbele katika mapigano yoyote;
Bali hutumia masikini wasiojitambua kwenda kupigana na...
Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari.
Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau tukajua ukweli ni upi tusijepigwa changa la mato.
Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
GT
Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli.
Kama ingekuwa...
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia.
Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.
Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Pia soma >> Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.