maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  2. Tuwe wawazi, ni mtu gani maarufu ulipokuwa mdogo uli mu-idolize sana kupelekea hadi ukawa na chembe chembe za style yake

    Mimi kusema kweli ni huyu mwamba in early 2000s (2001 na 2002) haha hadi nikawa napiga cross kama yeye tukicheza sodo.
  3. Mjue Robert Chesebrough: Mvumbuzi wa Mafuta Maarufu leo hii Vaseline

    Wakati wengine wakikimbilia fursa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu. Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo: "Innovation doesn’t happen in laboratories; it’s discovered in the field." Na hii ndiyo hadithi yake. Mwaka...
  4. Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi,

    Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi, Kutoka kwenye unyanyaswa kijisia, kuwa mwizi, kuingia jela na hadi kuwa mbunge kutetea wanawake nchini india. Anakumbukwa kwa famous qoute inayosema. "If there were justice in the world, I would have been a nobody" Na hii ndio...
  5. U

    Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  6. Kifahamu kisa maarufu cha Stephen Gore

    Ebu nikuulize swali Je, Maisha yako yana Thamani ya Kiasi gani? Moyo unaweza kununuliwa kwa kiasi gani?, Je Ini lako lina thamani ya kiasi gani? Je hiyo figo hugharimu kiasi gani? Kama mtu una tamaa ya pesa ya haraka haraka unaweza kuingia mtandaoni na kuanza kuuliza bei ya viungo vyako. Ila...
  7. BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

    Ndio, haujakosea kusoma. Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG. Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani. Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
  8. Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  9. KIpa wa Simba Camara apokea hela kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe

    Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi kumpatia hela kadhaa Hakuishia hapoo akasema kwa wasiomjua yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa Nguruwe...
  10. Wabongo celebrity kujazana kwenye page za watu maarufu duniani ni aibu sana

    Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu. Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi. Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
  11. TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
  12. Y

    Humu hadi ue maarufu ndio wapost Topic zako au ?

    YuleBoy hapa.......kuna post nimeweka kwenye forum naona imetupwa kapuni ......humu hadi ue maarufu ndio topic yako ionekane au?
  13. Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
  14. Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika. Yaani watu mamia Kwa mamia...
  15. Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

    Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga. Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
  16. C

    Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  17. U

    Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  18. Viti vya plastic maarufu bedsofa vinauzwa

    hivyo vya piki ni vikubwa 25,000 kwa kiti kimoja kipya ukitaka used 20,000 na hivyo vya chocolate bei yake 20,000 kwa kiti vipyaaa kama ukichukua vingi 19,000 Simu 0743257669 vipo banana derively ipooo
  19. W

    Haya ni makabila ya wasanii maarufu Tz 255

    Diamond - kabila lenye asili ya Morogoro anaelijua atujuze Alikiba - Mhehe Rayvanny - Mnyakyusa Harmonize - Mmakonde Niki Mbishi - Mkurya Young Lunya - Mzaramo Bilnas - Mchaga
  20. Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

    Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…