Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu.
"Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza...