Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho.
Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa
Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na...
Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika
Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana...
Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi..
Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha...
Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024.
Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja
Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka...
Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
Hii clip inajieleza wazi:
Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu?
Kwanini Kila mtu asipewe haki yake?
Kwanini kujipanga kupora haki za wengine?
Kulikoni kujipanga kuchuma laana?
Uporaji ni laana!
"OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA. Jibu lake kwangu akaniambia wewe nitahakikisha namaliza huo mguu uliobaki.
"Nimemwambia wacha mguu...
Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.
Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.
Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano.
Ndugu Watanzania...
Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...??
Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO....
hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani??
#KATAA WAHUNI
Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024.
Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua.
Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo.
Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.