maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maandamano bado siku 4! Tanganyika

    WATANZANIA GENZ-ZS FLOOR NI YAKO, UTUFANYE! GHADHABU NA MATAIFA Pamoja tusonge mbele #Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa 📍
  2. Maandamano yameshafanikiwa kwa 99%. Kinachokosekana ni "Starter" tu

    Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha. Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima. Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme...
  3. Sababu za Kisaikolojia na Kimuundo Zinazofanya Maandamano Kama ya Kenya, Nepal au Madagascar Yasitokee kwa Tanzania.

    Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu. Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
  4. GE2025 Maombi ya kushika Bendera ya Tanzania ili kuiombea taifa kuelekea MO29

    Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29? Mao
  5. GE2025 Kinje: Unaonya wananchi kuhusu maandamano. Na wao wakikupa Onyo je?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kinje Kingunge Ngombare amesema viongozi wanatoa maonyo kuhusu maandamano je raia nao wakitoa onyo itakuwaje. Kinje amesema hayo kukemea gabia za wakuu wa wilaya na mikoa ambao huto maonyo kwa raia. Amesema kama yeye akiwa Rais, mkuu wa wilaya au...
  6. GE2025 Gen Z waamka na ratiba mpya ya maandamano Oktoba 29

  7. M

    Muda mzuri wa Polisi kupiga hela; Tafteni chambo hata Copro atoe tamko la kuunga mkono maandamano ili wakuu waje mezani watoe mpunga

    Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe) Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau! Wote hawawezi...
  8. GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  9. Kwa swala la maandamano, nitaungana na serikali

    Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu. 1. January waende la kwanza. 2. January waende form one. 3. January matokeoa ya 7 yatoke. 4. January matokeo ya F4 yatoke 5. Mkale Xmas Moshi nk 6. Mfungue shule. 7. Muda huu std 4 wako mitihani ya taifa. 8...
  10. GE2025 Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa

    Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa, Wahuni wasifikiri sisi tutaenda kuremba remba, tutakula nao sahani moja jiwe kwa jiwe mpaka mabadiliko. Hakuna uchaguzi utakao fanyika
  11. GE2025 Hapana shaka kutakuwa na maandamano makubwa. Redcross 26 wamejipanga vibaya

    Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani. Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji...
  12. GE2025 Maandamano yamefanikiwa sio mpaka barabarani. Kitendo cha kila Kiongozi Kuimba maandamano ndio mafanikio yake

    Watawala ni muda kubadilika wenye mamlaka ya Mwisho ni Umma nguvu ya Umma haijawai kushindwa na Chochote Amiri Jeshi Mkuu Uwa anakimbia kupitia mlango wa Nyuma naomba watawala badilikeni Muda hauko Upende wenu jitafakari sana kitendo cha Nyie kuimba maadamno kuanzia Rais mpaka viongozi wote ni...
  13. Ni vigumu sana kufanya maandamano kwa mpango wa GenZ, vyombo vya usalama vimedhibiti njia za mawasiliano na wafanya "Phone Tracking" kukamata watu

    Nimeeleza kwenye moja ya mada za Britannica namna vyombo vya usalama vinavyofuatilia na kuteka watu wasipatikane kwa muda au hadi uchaguzi utakapokamilika. Mimi soma profile yangu nipo kama mchambuzi fulani hivi lakini baada ya kuona mambo fulani hivi imebidi niingie in details kuongea na Gen Z...
  14. GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  15. Walioandaa maandamano wana nguvu kuliko walioandaa uchaguzi Mkuu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
  16. Viongozi wa Yanga mnapigisha shot ili Yanga itolewe hatua za awali, kubadili hamasa ya maandamano

    Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha mjadala na hamasa za maandamano Kwamba vijana na Mashabiki wa Yanga watumie muda huu wa dhahabu...
  17. Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
  18. GE2025 Kimedani; Wiki hii ndio ingekuwa wiki muhimu ya mashambulizi makali kwa waliopanga maandamano. Zile super sub hii ndio ingekuwa wiki yao

    KIMEDANI; WIKI HII NDIO INGEKUWA WIKI MUHIMU YA MASHAMBULIZI MAKALI KWA WALIOPANGA MAANDAMANO. ZILE SUPER SUB HII NDIO INGEKUWA WIKI YAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwenye mapambano yoyote silaha na ujuzi ni muhimu lakini kama utashindwa kujua wakati sahihi wa kumshambulia adui basi...
  19. CP Camilius Wambura wanaopanga na Kuratibu maandamano watakiona

    Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama. Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua...
  20. Unakubalije kushauriwa na Mwijaku, maandamano vyokooo!!!

    Mwijaku maarufu CHAWA wa CCM anataka vijana wasiandamane yeye kama nani jamaa ana mambo ya hovyo kawaida huyu ni mnufaika wa mfumo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…