Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu.
Sasa, ni muda wetu kuonyesha dunia nzima kwamba tumechoka kudhulumiwa na kutawaliwa bila haki...