maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Urais wa TLS hauna impact ya maana!

    Sitaki kwenda deep , ila ninachowashauri Wanasheria (TLS) badilisheni katiba yenu/sheria at least Rais wa TLS akae madarakani kwa miaka 3. Urais wa TLS hauna impact ya maana kwenye Nchi. Ni kama Urais wa DARUSO tu! Wanasheria acheni mambo ya kitoto, onyesheni maturity kwenye projection zenu!
  2. J

    Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. J

    Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

    Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points. Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo. Ngoja...
  4. Msimuingizie agenda zenu Rais Samia, maana maono yake ni yaleyale ya Hayati Magufuli

    Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa...
  5. Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

    Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa. Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo Scrapped courses Bachelor of Science in Horticulture Bachelor of Science in Human Nutrition Bachelor of Science in Meteorology Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt...
  6. Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  7. Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

    Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
  8. Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  9. J

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  10. J

    Profesa Assad bado anautamani uCAG? maana anaongea utadhani Kicheere hayupo!

    Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu. CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake anarudia tena yale yale . Assad endelea kusimamia taaluma hapo chuo cha Tanesco mwache Kicheere afanye yake!
  11. Kama taifa linaongozwa na 60% ya viongozi wasio na Upeo, maana yake hata Raisi yumo?

    Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana...
  12. Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

    Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa utawala huu wa awamu ya 5 ambazo zilikuwa zinampamba sana mwendazake na kueleza Taifa letu linapaa sana...
  13. CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  14. S

    Tuangalie maana ya neno Dikteta

    Dikteta (kutoka Lat. dictator yaani mwenye kutoa amri kama imla) ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake. Pale ambako mtu au kundi la watu hutawala kwa mbinu huu hali ya kisiasa huitwa udikteta. Mfalme...
  15. Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
  16. T

    Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    Mshiki: Dada Mamkwe: Mtoto wa Pili wa Kike katika Familia Haikaelly: Asante Mungu - Jina la kiume Haika: Asante,Jina la kike Finyaelly: Nguvu za Mungu Ndekarisho: Ndekirwa: Nderingo: Elikunda: Mungu Kapenda Kundaelly: Mungu amependa Siaelly: Wale wanajua maana waongeze hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…