maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wadada mnavotukataaga tukiwatongoza, ina maana mnatuona tuna sura mbaya kihivyo?

    Kwa sababu kwa sisi wanaume, mdada akijipendekeza kwetu, hata kama kimuonekano tunamuona ni wa kawaida, sisi tutafanya naye ngono tu halafu tunapita hivi, tunakula hadi wadada vichaa Waokota makopo, yani kwa sisi wanaume mara nyingi mpaka tumkatae mwanamke kimapenzi, ujue huyo mdada tunamuona...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kusoma kozi ya Risk Management and Insurance?

    HABARI, Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana. Mwenye -positive idea please share we with us.
  3. JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

    Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake. ========= Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Maana ya mtaalamu

    Huyo ndio mtaalamu ni mtu ambae anaijua physics from scratch (hizo ni elementary concepts kajitolea kufundisha kuhusu how the universe works). Sio tu kwamba ameisoma Anafundisha at top university Ame andika vitabu best sellers Anashiriki kwenye debate za wasomi wenzake to name a few of his...
  6. JamiiForums Tanzania Mvua zisiponyesha miezi 2 au 3 ijayo bado viongozi wataendelea kutupa sababu zilezile? Ikiwa uwezo wao wa kufikiri ndipo ulipoishia basi we are doomed

    Huku mtaani kwetu tunaingia wiki ya 4 sasa tangu maji yakate, kipindi wanatangaza mgao tayari ulishaanza kimya kimya sehemu kibao za jiji la Dar. Nimekaa nawaza hapa, ina maana hawa viongozi wetu wamekaa wamerelax kabisa kwamba hawana la kufanya? Hivi hawaoni kwamba this is an emergency state...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni uzandiki. Ina maana uwanja wa ndege wa Chato ungejengwa Bukoba ndio ajali isingetokea?

    Huu ni uzandiki usiofaa na usio na kipimo kabisa. Yaaani mnakuwa wanafiki na wazandiki
  8. P

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na maana ya uokoaji, Precision Air na deni kwa kijana huyu

    Yanasemwa mengi juu ya ajali mbaya ya ndege ya Precision Air kule Bukoba ikiwa imebakiza mita 150 kabla haijatua. Kila mwenye ujuzi wa kuandika anaandika kila mwenye maarifa ya ukosoaji anafanya hivyo kwa nguvu kubwa. Kijana Majaliwa mwenye kujishughulisha na biashara ya dagaa ndiye aliyeibuka...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana ya uzalendo kwa vitendo

    Wakti wengine wanaonyesha uzalendo kwa kuvaa nembo na tai zenye bendera ya Tanzania, wanyama wakuu wa tanzania na mlima Kilimanjaro na Zanzibar tu huyu kijana ameamua kutufundisha maana halisi ya uzalendo. Hivi ni kweli ni yeye tu aliyekuwa ameiona ndege ikianguka kwenye maji? Tunajua kuna...
  10. JamiiForums Tanzania NIni maana ya kugawa mikopo ya wanafunzi kwa haki?

    Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaomudu kupata elimu ya chuo kikuu? Je, ni kuongeza idadi ya watumishi nchini wenye...
  11. JamiiForums Tanzania Ongezeko la hotuba za Hayati Magufuli mtaani, nini maana yake?

    Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani. Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli. Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jangwani hakuna miti ya maana wala misitu lakini mbona mvua zinanyesha?

    Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI). Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu. Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
  13. S

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

    PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali? Au hatambui maana ya cheo ni dhamana? 2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
  14. JamiiForums Tanzania Msikiti wa al-Aqsa hautabomolewa maana haukujengwa sehemu lilipokuwa hekalu la mfalme Suleiman bali upo pembeni

    Baada ya kuharibiwa kwa Yerusalemu 70AD, mlima sayuni (mount Zion) haukuweza kufahamika tena ulipo. Ndio maana mwanahistoria Josephus hajaeleweka kuhusu location ya hekalu kwasababu maelezo yake yanapingana na kinachoitwa mlima sayuni leo hii. Hekalu la mfalme Suleiman lazima lijengwe tena...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa utaratibu wa kutoa hisa zangu Mwalimu Commercial Bank maana tangu ianzishwe hisa zinashuka tu

    Hello wana JF, Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa. Naona hii bank itakuja ishia na pesa za watu. Kama wameshindwa kuiendesha basi bora ifungwe. Ninachoona kuna wajanja wanakula pesa...
  16. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  17. JamiiForums Tanzania Ina maana DAWASA hawasafishi na kuzibua visima hadi kutokee uhaba wa maji?

    Jamani hivi mmegundua kuwa tangu itangazwe kuwa kuna upungufu wa Maji unaosababisha mgawo, DAWASA wameanza kuzibua Visima 161 mitaani huko ambavyo havikuwa vikifanya kazi. Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kabisa kuwa hawa jamaa DAWASA hawana kawaida ya kuchukua tahadhari yoyote kuhusu dharula ya...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu mpangaji mwenzangu nifanyeje kumchakata maana kumwambia naogopa na tumekuwa tukisaidiana katika mambo mengi

    Wana JF kuna mpangaji mwenzangu mumewe alimtelekeza na mtoto wa miaka 7, na mda sana tangu amtelekeze dada huyu amekuwa akipambana mwenyew akiuza genge lake ili kujikimu katika mahitaj yake mbalimbali.sa nmetokea kumtamn sana maan bado n mdogo umri ake hauzid miaka 25. Huwa anakuja getho kwang...
  19. JamiiForums Tanzania Ndio Maana Wanaume Tunakufa Mapema

    Tangu tukiwa wadogo tumekuwa tukiambiwa wewe ni mtoto wa kiume Acha Kulialia jikaze, tangu lini umeona mtoto wa kiume analalamika hovyo! Haya na mengine mengi yamemjenga mtoto wa kiume kumeza machungu yake yeye mwenyewe pasina kuomba msaada Kwa watu wengine,kumemfanya kupambana na mitihani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ina maana gani?

    Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…