maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane kwenye maisha na ndoa?

    MLANGO WA NANE Mnamo march 2015, mdau wa JF anayejulikana kwa jina la Pucilio alileta uzi ambao unahusisha watu na mikosi kwenye maisha ya ndoa. Alisema kwamba kuna aina ya watu wana mikosi ya kuzaliwa nayo na mikosi ya kutupiwa. Ukimuoa/ukiolewa nae suala la maendeleo utalisikia kwa wenzako...
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya Jihad imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi mbalimbali, hali iliyosababisha Waislamu kushutumiwa kwa ugaidi. Watu wengi, wakiwemo Waislamu wenyewe, hawana ufahamu sahihi wa maana ya Jihad kulingana na Qur’an na Sunnah. Makundi kama Al-Shabaab, Al-Qaeda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tusikubali pesa itumike kwenye chaguzi ambazo tunajua kura zetu hazina maana

    Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Wakuu twende kwenye point 👉 iko hivi mara nyingi mimi huwa naota nipo shule yaani O-level, unakuta hata shule tuliyopo no ya Msingi lakini wanafunzi tuliyopo hapo ni wale niliyosoma nao sekondari na hii hutokea mara nyingi tu hata muda mwingine shule inaweza kuwa tofauti, lakini watu niliosoma...
  5. JamiiForums Tanzania Zulia jekundu ! Red carpet ina maana gani?

    (RED CARPET) Zulia Jekundu: Njia ya Kafara, Hatima, na Mabadiliko Zulia jekundu, mara nyingi linavyoonekana kama alama ya hadhi na fahari, lina maana ya siri iliyo mizizi yake katika kafara, hatima, na mabadiliko. Zaidi ya mvuto wake wa kifahari, linawakilisha ibada za kale, mafundisho ya...
  6. JamiiForums Tanzania Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  7. JamiiForums Tanzania Bodi Ya Ligi imetoa maelezo marefu yasiyokuwa na maana wala misingi yoyote ya kikanuni

    Nimeshangazwa na maelezo kutoka Bodi ya ligi (TPLB) kuhusu sababu ya kuahirisha mchezo, Nimegundua nguvu kubwa inayotumika na bodi kujisafisha na kujitoa makosa yake. Sababu za kuahirishwa mchezo zinazotajwa na TPLB ni za kiusalama kwa mujibu wa maelezo yao, Kwamba kamati ya saa 72 iliahirisha...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtengenezea yule njiwa kabox ili akaemo. Maana hata jana mchana alienda kupiga masafa akarudi tena kwangu. All in All nimeamuachia Mungu!

    Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/ https://www.jamiiforums.com/threads/jamani-yule-njiwa-alieingia-nyumbani-nikamtoa-nje-leo-tena-amerudi.2318795/post-53177554
  9. JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye 30s alafu unamuona dogo wa 20s anavyoteseka na mapenzi, wewe unabaki unacheka tu

    Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yake😂 Unakuta una experience ya haya mambo, 😂😂, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo. "Ooh...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini jambo la kipumbavu la kwenye biblia/quruan likisemwa kwa kizungu/kiarabu linaonekana lina maana.

    Hawa viongozi wenu wa dini za kikristo/kiislam wa kiafrica ni kwanini jambo la kipumbavu likisemwa kwa kizungu/kiarabu ikiwemo majina ya watu ie: john,mary,mustafa,khalid,mohamed;shule ,misikiti na makanisa i.e:st John,masgid tawfiq,n.k linaonekana lina maana sana?
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoto zina maana yoyote?

    Habari za usiku wakuu, Nimetoka kazini jioni ya leo Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

    Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶 👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mnamiliki siku ngapi maana karibu kila siku ni yenu

    Mna zile za kusafiri angani kila mwezi. Kuna siku ya wanawake duniani. Siku ya maombi ya kina mama. Kuna mothers day. Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kujenga mbona kama hakuna maana? - unajenga bangaloo lakini unazikwa kwenye kichumba cha mita 1*2.5

    Eti wakuu? Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali. Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  17. JamiiForums Tanzania Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

    Usilete matusi Yako hapa, Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF. Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
  18. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

    Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  20. JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mkweli sana, Mungu hatumii hela ndio maana account zote za sadaka ziko kwa jina la Mwamposa

    Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka. Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali. Accounts...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…