Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani.
Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki?
Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo.
Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
Hii nchi sasa ni FUTUHI kama kamanda mriro NSSF umri anasema kuwa wale sio askari wake na video zinaonyesha naweza amini kuna baraka zote.
Mbona simu za wizi zina kamatwa au wale matapeli wanao tumia namba za simu.
Tusifike mbali hivi tukio likitokea mbona mnajua mawasiliano na namba zao.
Je...
Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu.
Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini zaidi ya kununua na kuboresha.
kwani ukisema kabuni mfumo kwenye robot ni kosa.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi.
Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
GT
Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa.
Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
Waarabu siasa zao siyo za kubembelezana, wakianzisha chama cha siasa kinakuwa na military wing.
Angalia Kule Syria, Tizama HAMAS, Tizama Hezbollah, na sasa HOUTHI kule Yemen.
Wao wanaingia wamekamilika, kwanini sisi tuna anazisha vyama kama vile tuko kwenye vikoba?
CCM wao wana Military wing...
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.
1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."
Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya body positivity imekuwa ikijadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na katika jamii kwa ujumla. Hata hivyo, mara nyingi maana halisi ya ujumbe huu hupotoshwa au kueleweka vibaya. Body positivity haimaanishi mtu kuwa na mwili mnene na manyama uzembe na...
Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat.
Wananchi ndiyo...
Miaka kadhaa nyuma, mzazi wako alikuwa anaandika barua na kwenda kuituma posta. Sometimes ilifika baada ya wiki mbili au ilikuwa inaweza isifike kabisa.
Kisha baadae simu zikaja then mitandao ya kijamii ikaingia pia. Mzazi wako alipata shida ku-adapt na sometimes walidiriki hata kusema mitandao...
Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS"
Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno.
Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF heri ya Pasaka kwenu , Natumaini mnamalizia pasaka vema, kwa wenye changamoto poleni sana,
Ndugu zangu wakati mkiwa mnasherekea na kumalizia sikukuu kesho pia ni kazini na vibaruani pia kwa Watoto wanaenda shule,
Nimeanzisha Uzi muda umekosa wachangiaji...
Habari za Leo wanajamii forum.
Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS.
Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini.
Je mzigo umefika au Bado.
Herufi "INRI" ni ufupisho wa maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum," ambayo tafsiri yake ni "Yesu Mnazareti, Mfalme wa Wayahudi."
Kulingana na Injili ya Yohana (19:19-20), maandishi haya yaliandikwa na Pontio Pilato na kuwekwa juu ya Yesu msalabani. Biblia inasema kwamba maandishi...
Ndugu zangu wa thamani, Tunapoelekea sherehe za Pasaka ,tunapoadhimisha kifo na ufufuko wa Yesu Kristo ,binafsi napenda kuwaachia maneno haya kwa tafakari na tathimini ya maisha kibinafsi kwa mmoja wetu ………!
“Kabla sijakuumba katika tumbo la mama yako, nalikujua…” (Yeremia 1:5)
Maneno haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.