maamuzi

  1. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

    1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm 2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam. 3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unashiriki kufanya maamuzi kwenye masuala ya kisiasa au ni timu kulalamika tu kwenye kila kitu?

    Wakuu, Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi kuchagua kingozi bora, unakuta sehemu kumeharibika kwa mfano julisha mamlaka husika sehemu yenye...
  5. Smt016

    JamiiForums Tanzania Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  6. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
  7. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo. Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
  8. Meta AI

    JamiiForums Tanzania Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

    Habarini wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada... Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi...
  9. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    Kupeleka ajira za ualimu ni moja ya maamuzi ya ovyo ambayo serikali imewahi kuyafanya. Sitoshaangaa hapo baadae mwanasiasa mwingine atakapokuja na kuamua kuzirudisha tena Tamisemi au akatumia udhaifu ulioneshwa na utumishi kuombea kura kwa wasaka ajira za ualimu. Wakati ajira hizi zipo...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Njaa ni kali wanangu ila tuwe makini na maamuzi nyeti wakati wa ukata maana huwa hayajirudi

    Mkopo juu ya mikopo. Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu. Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu. Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu. Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali. Kumpiga kibuti...
  11. Darcyy

    JamiiForums Tanzania Mnafanikiwa vipi ukitakiwa kuamua maamuzi magumu?

    Wandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo? Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. 🥺🥺 ili uwe sawa kama hapo kabla 😔
  12. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  14. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Maamuzi unategemea Usahihi wa Taarifa, na kinyume chake

    Parable 02|15-16/24| Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili, tulilichambua lile swala uchambuzi ukaonyesha tuko sahihi na hasa mkuu Wa idara alioneshwa kuamini...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

    Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa. Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua. Tanzania inaweza kuzalisha umeme...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    Habari za jioni mabibi na mabwana natumaini hamjambo nyoote, Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk. Mimi ni kijana wa miaka 28 katika kutafuta maisha kwangu nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na uzinzi...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa maamuzi yangu binafsi

    Baada ya kuleta uzi ambao nilieleza ya moyoni na wengi walipiga mawe, wengine wali nifananisha na baadhi ya watu humu japo kuwa mimi hata kwaa id nyingine sijawahi kujibu au kueleza chochote au kujifananisha na chochote kuhusu swala langu (Nipo kimya sana humu na comment fupi au kulike tu most...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwa Maamuzi yenye utata ndio yaliyoirudisha kwenye reli Yanga .

    VAR ni muhimu sana , ingekuwepo Yanga ingetumia nguvu sana kurudi kwenye form .
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  20. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu wanatenge muda kufuatilia maazimio yao walio fanya jana kabla hawajafanya maamuzi leo?

    Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi. Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya...
Back
Top Bottom