maamuzi

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mimi ni miongoni wa G55 haya ndo maamuzi nilioamua kuchukua ,kuelekea October 2025

    Nimekaa na familia yangu nimeona tu nirudishe hela nilizokula. Najua haitokuwa rahisi Ila nitafanya hivyo.
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mimi ningekuwa G55 maamuzi ambayo ningefanya ni haya ili kuhakikisha haki na ustawi wa Chadema na nchi unapatikana.

    Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache . Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi. Ahsante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi? Fabrice konokono Ngoma pale kati...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mchome kuhusu ubatili wa Baraza na Maamuzi yake ni dhaifu

    Hoja za Mchome wa Chama kupinga maamuzi ya Baraza, Kamati Kuu na maamuzi yake siyo hoja inayoweza kutikisa chadema kwa vile hata anayoyalalamikia kama ni kweli yanaweza kurekebishwa kwa kuitisha kikao kingine na kufanya maamuzi ya kubariki uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na kisha kubariki...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe kwenye uchaguzi

    Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo amewataka wananchi kutokuwa tayari kuona yaliyofanyika katika chaguzi zilizopita yakijirudia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2025. Askofu Shoo ametoa kauli hiyo Machi 16,2025 katika ibada ya kufungua jengo jipya la Kanisa Usharika wa...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

    Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu. Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho. Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc. Sawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

    Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao! Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
  11. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

    Usilete matusi Yako hapa, Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF. Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
  12. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya wajinga yanapotia watu hasara

    Kila ulifanyalo Jaribu kuwaza ni athari gani utaleta,ikiwa ni negative basi fikiria mara mbili. 1.Watu wamesafiri kutoka mbali kwaajili ya hii kitu. 2.watu wamekodi usafiri na nyumba za kulala wageni Kwa starehe ya saa moja na nusu. 3.Mtu kakopa pesa anunue kifurushi ili aoneshe mpira kwenye...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Maamuzi ya Rais Donald Trump kusitisha Misaada ni fursa kwa Afrika

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
  14. Tman900

    JamiiForums Tanzania Njaa, ndio chanzo cha kila maamuzi

    Urafiki,Kuchukiana, Mpaka mke/ Mme ulie nae Yuko na wewe kwa sababu ya Njaa, ngoja siku akijipata Kiuchumi ndo utajua Ukweli Wa Rangi za huyo mwenza wako. "Hata watu wanaokusifia mda wote, wao kukukosoa hawawezi kwa sababu ya Njaa, wakikukosoa wakose chakula"
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Trump aahidi kuheshimu maamuzi ya Mahakama dhidi ya Executive Orders ambazo amepingwa na Democrats

    Wabunge wa Republican wamsihi Trump kuzingatia maamuzi ya mahakama za shirikisho Na Alexander Bolton | 12 Februari 2025 | Wabunge wa Senati kutoka chama cha Republican (GOP) wanamhimiza Rais Donald Trump kuzingatia maamuzi ya majaji wa shirikisho ambayo yamezuia amri zake za utekelezaji wa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake

    Je sisi ni raia wa Marekani ? Je tunalipa kodi au tozo Marekani? Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ? Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada. Nadhani Africa tumepewa...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Afrika: wenye akili hawana maamuzi, wenye maamuzi hawana akili

    Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika tunataka nini. Afrika ni bara ambalo limekuwa likitegemea misaada kutoka nchi za Magharibi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

    Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo. Soma Pia...
  20. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kiume na nafasi ya mwanaume kwa sasa ndani ya familia zetu

    Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
Back
Top Bottom