Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema
Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree
Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka
Mwanasiasa (mbunge) = 141.6 million plus posho kwa mwaka
Drug dealer= 1 siku 300million
NB, ni makadirio sijaangalia scale zao...