maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  2. Dkt. Thea Ntara: Wasanii wanaovaa vibaya na Wanawake wanaocheza vigodoro wakiwa wamelowesha nguo wakamatwe

    Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
  3. Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao. ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
  4. Mfumo hauhitaji akili za maskini, unahitaji tu nguvu zake. Anapofikiri anakuwa tishio, lakini anaponyamaza anatumika, anakuwa rasilimali

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  5. Nchi iliyooza hufundisha vijana wake utii na si maadili

    Tangu utoto wetu, tumekuwa tukielezwa kuwa elimu ni njia ya mafanikio. Tumefundishwa kuheshimu walimu, kufuata ratiba, kuvaa sare, na kusoma ili tufanye mitihani na kufaulu. Lakini swali moja haliepukiki kwa yeyote mwenye akili huru: Je, mfumo wetu wa elimu unatuandaa kuwa watu wa maadili, au...
  6. Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  7. D

    Ni sahihi mafunzo ya maadili kuratibiwa na kiongozi asiye na maadili?

    Asalaam, Hopefully wote mpo salama na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu nzito za ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania. Well, This week niliona Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia kwa kitengo chake cha sekretarieti ya maadili ya...
  8. Kwanini serikali inamkumbatia mwijaku wkt ni mtu asiye na maadili ?

    Mtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi na ma kapuni na kupewa endorsement kubwa na serekali. Leo hii namuona Zanzibar wamemuita aje...
  9. Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

    Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani, ::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
  10. Waziri Ndumbaro: Kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025 RITA imesajili na kutoa Talaka 675, atoa wito kutolewa elimu ya maadili kwa wanandoa

    Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka. Akiwasilisha makadirio...
  11. Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  12. J

    Hii kanuni ya 2.1 (h) ya maadili ya uchaguzi imekaaje.

    Wadau. Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya. Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya siasa na wagombea. Katika kipengele h ndio kuna huo mkangayiko niliona. Inasema; kuhakikisha kuwa...
  13. VIDEO: HALIMA Mdee amekiri CHADEMA wako sahihi kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Sheria na Katiba

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee halimamdee amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA ChademaTz na ACTwazalendo kuhusu kudai reforms kuwa ni sahihi na zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu...
  14. K

    Mwananchi kuchaguliwa viongozi

    Kwa CCM na tume yao ya uchaguzi na maadili ili iendelee kubaki madarakani kwao huu sio uhaini?
  15. PreGE2025 Kanuni za maadili ya uchaguzi zinakuwaje na nguvu kuliko katiba?

    Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama vyote ili vyama hivyo vipate sifa ya kuja kushiriki uchaguzi miezi sita ijayo! Tangu lini kusaini...
  16. B

    ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  17. Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

    Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani? Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
  18. PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  19. Nimefurahi sana CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili, mwaka huu hakuna mgombea atayepotea , kutekwa wala mwananchi kufa kwa sababu ya Uchaguzi

    Wasalaam ndugu zangu Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo: 1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
  20. Machafuko yazuka Nakuru, Wasichana watawanywa kwa mabomu, Serikali yakazia maadili

    Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of War’’, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…