maabara

Ma'abarot (Hebrew: מַעְבָּרוֹת) were immigrant and refugee absorption camps established in Israel in the 1950s, constituting one of the largest public projects planned by the state to implement its sociospatial and housing policies.The ma'abarot were meant to provide accommodation for the large influx of Jewish refugees and new Jewish immigrants (olim) arriving to the newly independent State of Israel, replacing the less habitable immigrant camps or tent cities. In 1951 there was 127 Ma'abarot housing 250,000 Jews, of which 75% were Mizrahi Jews; 58% of Mizrahi Jews who had immigrated up to that point had been sent to Ma'abarot, compared to 18% of European Jews.The ma'abarot began to empty out by the mid-1950s and many formed the basis for Israel's Development towns. The last ma'abara was dismantled in 1963. The Ma'abarot became the most ensuring symbol of the plight of Jewish immigrants from Arab lands in Israel; according to Dalia Gavriely-Nuri, the memory of these camps has been largely erased from Israeli memory.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Swali la kichawi lenye kuhitaji jibu la kisayansi ya maabara

    Mwaka jana majira haya nchi za Ulaya na Marekani walikuwa kwenye kipindi kigumu sana. Raia wao walikuwa wakifa maelfu na maelfu kwa siku sababu ya Corona. Mbona mwaka huu hawafi? Na ninasikia Kuna wave 2.0 ya Corona ambayo ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwaka jana?
  2. Artifact Collector

    Ni muda wa maabara katika nchi za Afrika kuwa na "Next generation sequencing instruments"

    Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe analytics na bioinformatician Modern medicine imekua centered na data driven tofauti na traditional...
  3. J

    INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine...
  4. Dr. Zaganza

    Natafuta Maabara ya Certificate Of Analysis Kwa medicated soap

    Habari wakuu, Najiandaa kusajili medicated soap TMDA, kuna document ya certificate of analysis wanahitaji. Ni maabara ipi naweza fanya parameter test? Naomba msaada kwa namba 0713- 039 875
  5. Trubarg

    Maabara ya Taifa ya Afya(NPHL) boresheni haya

    Maabara ya Taifa inajihusisha na kufanya tafiti pamoja na upimaji wa magonjwa ya mlipuko Kama Corona n.k. Kipindi hi Cha Corona ndiyo wanaohusika na kupima wagonjwa na wasio wagonjwa. Msafiri yeyote anayetaka kutoka nje ya nchi hairuhusiwi kupanda ndege mpaka awe na Cheti kutoka kwa Hawa jamaa...
  6. luangalila

    Chumba cha Maabara: Kongole kwa Mo Jay

    Kama Bichwa la Habari lisemavyo. Kipindi tajwa hapo juu kina saidia sana kuvumbua aaina ya mahusiano ambayo vijana wanapitia. Jana nimesikiliza kisa cha dada mmoja alikutana na jamaa ambaye alikuwa mteja wake katika bandaa la chakula cha mdada wa watu, wakaanzisha mahusiano, kila wakikutana...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Madaktari, manesi na watu wa maabara ajira zenu ziko mashakani

    Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu (🐐🐐 🇺🇸 a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi. Kutokana na hotuba ya Jana...
  8. Risk manager

    Nimepima lakini Maabara zatofatiana majibu

    Habarini zenu wanajamvi. Niende kwenye mada moja kwa moja. Kuna muda nimepima magonjwa yafuatayo ; uti,typhoid,amoeba,malaria, nilipima haja kubwa na ndogo kwa pamoja, katika maabara kama tatu hizi za wafanyabiashara ama za mtaani ila naambulia majibu tofauti. Yani hapa una uti ila huku...
  9. S

    Tanzania tuliona Corona kwenye kuku na mbuzi tukawawajibisha wafanyakazi Maabara ya Taifa; China wanaona Corona kwenye kuku wanajiuliza wameingiaje!

    Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil. China...
  10. Cannabis

    Abiria kutoka Tanzania watahitaji kupimwa maambukizi ya virusi vya Corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)

    UAE wametaja orodha ya nchi zitakazotakiwa kutoa ushahidi wa kutokuwa na maambukizi ya virusi vya corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia nchini humo kuanzia August moja. Tanzania pekee ndio imetajwa miongoni mwa nchi hizo katika ukanda wa Afrika Mashariki ambapo abiria kutoka nchi hiyo...
Back
Top Bottom