luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. Tlaatlaah

    Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  2. figganigga

    PostGE2025 FULL TEXT: Hotuba ya Luhaga Mpina kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 29 Oktoba 2025

    Salaam Wakuu, Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu. Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa kuweka kumbukumbu sawa kwa Vizazi vijavyo kwa Matumizi ya Shule na kuwajengea watu wa Dunia ufahamu na...
  3. Ex Spy

    PostGE2025 Luhaga Mpina: Maandamano ni haki ya Kikatiba, Rais hana mamlaka ya kuidhinisha mauaji ya dhidi ya raia wasio na silaha

    Naweka kwa Muhtasari, Taarifa kwa Umma ya Luhaga Joelson Mpina ya Tarehe 6 Disemba 2025 (attachment) Mtoa Taarifa: Luhaga Joelson Mpina (Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo aliyeenguliwa) Inaongelea haya: Shauri la Kesi ya Rufaa, Uchaguzi Mkuu, na Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025. 1...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Luhaga Mpina: Wananchi wanaotaka kuandamana wasikilizwe haraka kabla ya Oktoba 29, 2025

    Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za kisiasia wasikilizwe haraka sana kabla ya Oktoba 29, 2025. Mpina ameyasema hayo leo Oktoba 27, 2025...
  5. Waufukweni

    GE2025 Mpina: Uchaguzi usifanyike hadi Mahakama itoe uamuzi

    Luhaga Mpina, aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, leo Oktoba 27, amezungumzia rufaa yake aliyokata katika Mahakama ya Rufaa baada ya Agosti 6, 2025, kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa JTM. https://www.youtube.com/live/fHp9tErbuV4 Septemba 13, 2025 Tume Huru ya Taifa ya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wakili wa Mpina: Mungu pekee ndio ahojiwi, lakini wengi wote lazima tuwahoji

    Mawakili wa Mpina leo wamechochea moto tena! Ni kweli kabisa kwanini watu wengine wasiojiwe na wanadai wenyewe Tanzania ni nchi inayongozwa Kidomokrasia lakini kumbe inaendeleshwa kimabavu. Lakini Mawakili hao wamesema kwamba hata mchakato ulifanyika kumuondoa Luhaga Mpina kwenue kinyanganyiro...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpina: Tumeomba Uchaguzi wa urais usifanyike, hadi shauri lilipo mahakamani likamilike

    Luhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi. Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu...
  8. M

    GE2025 Bwege: Nimeamini maneno ya CHADEMA 'No Reforms, No Election' baada ya mgombea Urais kupitia chama changu ACT Wazalendo kuenguliwa

    Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Mahakama Kuu Kusoma Hukumu Kesi ya ACT Wazalendo na Mpina Dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi Leo Oktoba 10, 2025

    Hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha ACT Wazalendo chini ya Bodi ya wadhamini pamoja na Luhaga Mpina kupinga uamuzi wa kuenguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea kiti cha Urais,itasomwa leo saa nane Mchana Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma. Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria...
  10. Mafyangula

    GE2025 Mpina: Taifa linahitaji viongozi aina yangu

    Mwanachama wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuonesha utofauti wa kampeni baina ya vyama vingine na kutimiza kusudio lake la kuongoza nchi baada ya kushinda uchaguzi, akibainisha kuwa Taifa...
  11. Waufukweni

    GE2025 Hukumu ya kesi ya Mpina dhidi ya INEC kusomwa Oktoba 10, 2025

    Hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itasomwa Oktoba 10,2025. Kesi hiyo namba 23617, ipo mbele ya majaji watatu wakiongozwa na Frederick Manyanda , Abdallah Gonzi na Sylvester Kainda. Leo Jumatatu Oktoba 6,2025 Mpina amefika mahakamani akiongozana na...
  12. mwanamwana

    GE2025 Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina kuondolewa kugombea Urais wa Tanzania. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mbele ya majaji watatu kuanzia...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto: CCM inamuogopa Mpina na sababu walikuwa nae ndani ya chama chao

    "Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
  14. PAYE

    GE2025 Dorothy Semu: Mpina akigombea tutashinda, tuna imani na uwezo wake

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama hicho hakina wasiwasi kuhusu muda uliosalia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, endapo Luhaga Mpina ataruhusiwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dorothy amezungumza hayo leo, Septemba 29, 2025, katika...
  15. The Father of All

    GE2025 Japo hajapenya kugombea na ni mara yake Luhaga Mpina anaonekana tishio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Japo kuna dhana kuwa ACT-Wazakabwe ni CCM B, kuna kitu naona kwa mgombea wake Luhaga Mpina. Inakuwaje CCM wanamuwekea mapingamizi kila kona? Je, ana kitu kinachofanya wamgwaye isijekuwa kama yale ya Tshekedi na Kabila kule DRC ambaye aliwekwa na Kabila akidhani ni boya kumbe naye alikuwa na...
  16. Heparin

    GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu. Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
  17. Just Pray

    GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

    "Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye. Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu...
  18. Just Pray

    GE2025 Luhaga Mpina: Tunayo magari ya kutuwezesha kufanya kampeni nchi nzima, kwanini tuchukue gari la watanzania?

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
  19. N

    GE2025 Luhaga Mpina: Nitashinda Urais kwa zaidi ya asilimia 70

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amesema kuwa anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 70 katika uchaguzi unaotarajiwa...
  20. JanguKamaJangu

    GE2025 Press Luhaga Mpina anazungumza na Wanahabari, leo Septemba 13, 2025

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Septemba 13, 2025 anatarajiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari baada ya kurejesha fomu zake katika Ofisi ya Tume Jijini Dar es Salaam. Mkutano unafanyika Makao Makuu ya ACT Wazalendo – Magomeni. Pia soma ~ ACT yakataa gari...
Back
Top Bottom