lori

Lori (Armenian: Լոռի, Armenian pronunciation: [lɔˈri] (listen)), is a province (marz) of Armenia. It is located in the north of the country, bordering Georgia. Vanadzor is the capital and largest city of the province. Other important towns include Stepanavan, Alaverdi, and Spitak. It is home to the UNESCO World Heritage Sites of Haghpat and Sanahin monasteries and the well-preserved Akhtala monastery, where Armenians, Georgians, and Greeks make an annual pilgrimage on September 20–21.The province was heavily damaged during the 1988 Armenian earthquake.
The province is served by the Stepanavan Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Watu watano wafariki dunia baada ya Lori kufeli breki kwenye mlima Mbalizi, Mbeya

    Watu watano wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa mkoani Mbeya baada ya Lori la Mizigo kufeli breki kwenye mteremko wa Mlima Mbalizi na kuyagonga magari madogo matatu, Bajaji na watembea kwa mguu. ========================== Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bariadi: Watu 7 wafariki katika ajali iliyohusisha Bajaji na lori

    Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ. Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori kugonga...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori lagonga nyumba, laua watu watatu

    Watu watatu ambao ni Wanaume wawili na Mwanamke mmoja wamefariki na mmoja kujeruhiwa katika ajali ya gari baada ya Lori kuacha njia na kuingia katika nyumba iliyo karibu na barabara Mikumi Barabara ya Morogoro-Iringa. Majeruhi Rajabu Kapomba amesema ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo machi 25...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dereva lori la mafuta ahukumiwa jela miaka minne na faini milioni 16

    Mahakama ya Mkazi Wilaya ya Iringa imemfunga jela miaka minne pamoja na kulipa fidia ya shilingi 16,050,000 dereva wa lori la mafuta la Kampuni ya Panone And Co. Ltd, Faid Mussa Manis baada ya kupatikana na hatia katika kesi jinai namba 2019 iliyokuwa ikimkabili yeye na wenzake 6...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

    Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
  7. Watu8

    JamiiForums Tanzania Ajali Kimara Mwisho: Lori limezuia njia

    Wale wazee wa road trip ambao mmepanga kutumia barabara ya Morogoro. Wale wakazi wa kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Mbezi Mwisho. Kuna ajali ya lori maeneo ya Kimara Mwisho usawa wa kituo cha BRT kiasi kwamba inalazimu magari yanayotoka mjini kutumia Lane ya BRT kuingilia Kimara Korogwe. Hivyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tusubiri lori liparamie wanaofanya biashara barabarani ndio tuchukue hatua?

    Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
  9. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kutoka dereva wa lori mpaka nahodha wa jahazi; je kule jahazi linapotakiwa kufika pakoje?

    "Jahazi hili, upepo uwe mwingi, upepo uwe mdogo, jahazi hili lazima likate mawimbi hili safari ifike." Mhe. Rais Samia. Dereva wa lori, Mungu amrehemu, nae alisema anatupeleka kwenye nchi ya asali na maziwa, hivyo tulitakiwa kutulia na kuwa kwenye mako wowote ule. Lakini ndio hivyo katutoka...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Hii ina akisi hali ya matumaini katika sekta ya biashara nchini Tanzania kwa sasa
Back
Top Bottom