Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu.
Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na...