In geography, location or place are used to denote a regions (point, line, or area) on the earth's surface or elsewhere. The term location generally implies a higher degree of certainty than place, the latter often indicating an entity with an ambiguous boundary, relying more on human or social attributes of place identity and sense of place than on geometry.
Katika msimu huu wa shamrashamra na furaha, ninapenda kuchukua nafasi hii kukutakia wewe na familia yako yote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya wenye baraka tele. Sherehe za Noeli ni zaidi ya kula na kunywa; ni muda wa kutafakari upendo mkuu tuliojaliwa na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na...
Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi.
Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu.
Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi.
Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii.
Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka...
Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa
Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni
-Eneo lina fremu za Biashara
-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.
Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.
-Plot size Sqmtrs 3,548
-Document...
Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri.
Kuna...
Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru.
Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake.
Shukrani.
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu.
1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji)
Advantage:
-Connection ya mafundi na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.