lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

    Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo. Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea. Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

    Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia. Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na fimbo yake kama Musa kwa Farao

    Katika siasa huwa kuna symbolism au utambulisho wa kisiasa na kimamlaka. Ukisoma maandiko utakutana na nabii mkubwa kabisa wa wana wa Israel Musa akiwa na fimbo yake ambayo kama tunavyofahamu ilitumika kupitishia miujiza mikubwa kabisa ya Mwenyezi Mungu. Hapa kwetu Tundu Lissu na yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

    Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alionya kuwa mwaka huu issue si uchaguzi huru na wa haki kwani hilo halipo, bali ni kama tutaendelea kuwa hai na salama baada ya uchaguzi

    Siku moja au mbili kabila ya kurejea nchini,Lissu alihojiwa na chombo kimoja cha habari kuhusu swala zima la uchaguzi na iwapo uchaguzi itakuwa huru na wa haki. Nakumbuka Lissu alijibu kwa kusema:Issue sio uchaguzi huru na wa haki, kwani hilo halitaraji, bali issue ni je,tutaendelea na maisha...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu alipowasili Mwanza aliahirisha kuzungumza alichokua amepanga baada ya kupata idadi ndogo wananchi

    Mwanza kunani
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yamwamuru Lissu kufika mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, Septemba 14, mwaka huu, baada ya jana kushindwa kufika kusikiliza kesi yake. Amri hiyo ilitolewa jana na mahakama hiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

    Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani. Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili. 1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    Ni Ijumaa tulivu. Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu. Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Ikungulyabashashi

    Dah! Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa. Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani. Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi! Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

    Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote . Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

    Tanzanian authorities attempt to silence activists on Bulyanhulu case 17 JANUARY 2002 Tanzanian authorities have arrested Rugemeleza Nshala, President of the Lawyers Environmental Action Team (LEAT), and raided the house of another LEAT lawyer, Tundu Lissu in connection with their...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mamia wajitokeza kumdhamini Tundu Lissu Bariadi Mkoa wa Simiyu

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Juma Mwalim, akizungumza na Wananchi wa Bariadi Mkoa wa Simiyu waliofika kwa ajili ya kumdhamini, leo Alhamis, Agosti 13, 2020.
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu umegusa moyo wa watu wa Tarime

    Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Kyela tunasubiri kwa hamu kumdhamini Lissu

    Kyela ndio mwanzo wa nchi yetu kutokea Malawi na ndio mwisho wa Nchi hii ukitokea Dar es Salaam , unapotokea Malawi bendera ya kwanza ya chama cha siasa unayoiona unapovuka boda tu ni bendera ya Chadema , hii ndio bendera ya mwisho ya chama unayoweza kuiona pale boda kabla hujavuka kwenda Malawi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

    Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko Niende kwenye mada! Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu 1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…