lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. MJENGA

    Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  2. Roving Journalist

    GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  3. M

    Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

    Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa chama Chochote Cha Siasa. Yeyote anayefanya vizuri Mimi ni Mfuasi wake kwa Maslahi ya Tanzania. Nawashauri CHADEMA waanze kumwandaa Tundu Lisu Kuanzia Sasa ili aje kuwa Mgombea wa Uraisi 2020.Huyu ni Mwanasheria Nguli Na ni Mtu anayejitambua sana. Kwa taaluma...
  4. P

    GE2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

    25 August 2020 CCM na serikali yake imekuwa na vikao visivyoisha kutafuta mbinu, sababu, na kupima matokeo ya kumkwamisha Lissu ili asiweze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Octoba 28 2020. Mpaka kufikia jana options zote za kumkata Lissu...
  5. Mag3

    GE2020 Tundu Antiphas Lissu ni yule yule wa juzi, wa jana na wa leo na katu hajabadilika na hatabadilika

    Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila. Hakuanza leo...alianza akiwa mzima wa afya, aliendelea hivyo akiuguza majeraha yaliyotokana na kumiminiwa...
  6. Prof Koboko

    GE2020 Lissu anakatwa na NEC kwa kipengele kipi cha Sheria?

    Tuacheni propaganda rahisi kiasi hicho zisizokua na kichwa wala miguu. Unapolalamika kua Lissu anakatwa na NEC kwa kipengele kipi cha Sheria? Taja hicho kifungu hapa hapa usiwe muongo muongo na mpotoshaji. Kwa wanaodai kuwa alianza kampeni mapema hawajui sheria wanafanya propaganda. Hakuna kitu...
  7. Erythrocyte

    GE2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

    Hili hapa andiko lake Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
  8. L

    GE2020 Kesi za Tundu Lissu na Uchaguzi Mkuu wa 2020

    CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais. Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi...
  9. J

    Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

    Mgombea urais wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu amesema atahudhuria mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya Uchaguzi. Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi (open case) hivyo amewaomba Wanachama wa...
  10. LESIRIAMU

    Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

    Together TunawakilishaHome Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu Wilayani Hai Mkoani humo wakati...
  11. Nyani Ngabu

    Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

    Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye 💯/💯! Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi. Iachane na mambo ya faragha za watu. Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
  12. M

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao. Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
  13. Superbug

    Hivi Lissu akiendesha harambee kanisani kanisa mtamkubalia? Lakini IGP Jana alisema wanasiasa wasitumie mimbari ya Mungu kisiasa

    Naomba kuliuliza kanisa katoliki linaloendesha harambee muda huu ambapo mgombea mmoja wa kisiasa ndio anaendesha harambee. Je, Tundu Lissu na yeye akiendesha harambee mtamruhusu? Siiulizi TBC hao hawana hadhi nawauliza kanisa katoliki.
  14. C

    GE2020 Akili ni kumuacha Tundu Lissu agombee bila vikwazo, NEC na CCM eleweni

    Habari wana JF, Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu? Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala msihangaike kumuwekea mizengwe. Iko hivi Tundu Lissu anaenda kuwa mgumu zaidi na Upinzani halisi...
  15. lee Vladimir cleef

    IGP Sirro, kamata kwanza waliompiga Lissu risasi, amani ndio itakuja

    Sirro unahangaika sana kuongea na VIONGOZi wa dini juu ya amani yetu baada au wakati wa Uchaguzi. Wewe ni mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. Nakuomba kwanza ili uaminike kamata kwanza waliomshambulia Lissu. Muulize Lissu akutajie prime suspect nahisi atakua anawajua ndipo makachero wako wanze...
  16. Naantombe Mushi

    Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi. Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha...
  17. Kipenzi Changu

    Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

    Tupo Tayari Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru. Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O Magoli yote ya Simba Onyo Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Ngoja niwape siri: Lissu anatamani akatwe jina na NEC ili apitie mlango wa nyuma kuutwaa Urais

    Habari waungwana! Ngoja niwaambie jambo ambalo linaweza kuonekana la kawaida au la kipuuzi ila ndio ukweli uliositirika. Lissu ukimsikiliza vizuri kwenye speech zake kuna jambo analiongea . Jambo hilo inaonyesha watu wenye nguvu wako nyuma yake. Na Lissu anadubiri mpenyo kuwatukia hao watu...
  19. Fantastic Beast

    Lissu vs Tume -Both Decisions Will Add More Credits to Him

    Hakuna wakati mgumu wanapitia watumishi wa tume kama huu. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi haijawahi kupata mgombea machachari kama Tundu Lissu. Mgombea anayewakemea waziwazi tena kabla hawajafanya maamuzi ya mwisho ya kupitisha wagombea wa urais. Mgombea anayejua sheria vizuri tena huenda...
  20. kiraia

    Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la MwanaHALISI la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa "Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya...
Back
Top Bottom