lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

    Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI MINING EXPO 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni 2025, katika Viwanja vya Madini -...
  3. JamiiForums Tanzania RC Telack Apewa Tuzo ya Heshima, Uasisi wa Lindi Mining Expo

    RC TELACK APEWA TUZO YA HESHIMA, UASISI WA LINDI MINING EXPO MKuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhiwa tuzo ya heshima kama muasisi wa Maonesho ya Madini ambayo yalianza mwaka 2023 yakiwa na mafanikio makubwa . Tuzo hiyo imekabidhiwa Juni 14, 2025 na Mhe. Steven kuruswa Naib Waziri...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lindi International University (LIU) kuzinduliwa Oktoba 2025

    Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga. Kozi zitakazotolewa, Undergraduate 1. Bsc Aquatic Science, 2. BA African Medicine, 3. BA Islamic Banking, 4. BA Sharia, 5. BA Econometrics, 6. BSc. Aeronautical Engineering, Postgraduate PhD in...
  6. JamiiForums Tanzania Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kubezwa kwa mda mrefu, mkoa wa Lindi sasa unaenda kuwa "Mineral Hub of Tanzania"

    My Take Hakuna Mkoa ambao Hauna mali Kwa Tanzania ila Mkoa wa Lindi unaenda kuwa kitovu cha Madini mkakati Tanzania kama -Graphite -Nickel -Gypsum -Gesi asilimia Ikumbukwe LNG plant yenye Thamani ya Shilingi Trilioni 90 inaenda kijengwa Lindi. Kwa wasaka fursa Lindi is the next big thing...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

    Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data. Asante.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Lindi yaipongeza Kilwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawaogopa watu wa LINDI na MTWARA pekee

    Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi. Watu wa kusini ni next level. Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nassoro Ngoma: Aliyoyafanya Majaliwa Ruangwa si maendeleo bali ni mageuzi

    Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko. === Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani ya miaka 10 si maendeleo bali ni mapinduzi. Ngoma ameeeleza mtandao wa lami uliowekwa katika kipindi...
  12. JamiiForums Tanzania Barabara ya Lindi- Mtwara

    Changamoto ya Barabara ya Kusini (Mtwara–Lindi) na Namna ya Kuiondoa Barabara ya Kusini inayounganisha mikoa ya Mtwara na Lindi ni kiungo muhimu cha maendeleo kwa wakazi wa maeneo haya na taifa kwa ujumla. Barabara hii inahusisha shughuli za usafirishaji wa mazao, bidhaa, na watu, hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Homilia ya askofu wa Lindi siyo msimamo wa TEC

    He
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua athari za Mvua Lindi, atoa maelekezo kwa Mameneja wa TANROADS nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa...
  15. JamiiForums Tanzania Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

    Ukiwa na integrated refinery unakua umeua ndege watatu kwa jiwe moja nikimaanisha natural gas refining, crude oil refining, na petrochemical plant zinaweza kuwa sehemu moja na wako ambao wameshafanya hivyo kama gujarat refining India na dangote refining nigeria
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mwaka huu CHADEMA wamepumzika, Kama hawatoshiriki uchaguzi watashiriki mwaka 2030

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika. Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CPA Amos Makalla atua Kusini mwa Tanzania kwa kishindo hii leo. Apokelewa na maelfu ya watu

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi. Ambapo katibu Wetu Msomi mahiri na mtaalamu wa mahesabu na mwenye uzoefu mkubwa sana ndani ya serikali na chama. Amefanya...
  18. JamiiForums Tanzania Waasisi wa Uhuru waliotuacha kwenye Lindi la Umaskini

    Tulipopata uhuru, matumaini yalikuwa makubwa. Tulidhani uhuru ungeleta maendeleo, uchumi imara, na maisha bora kwa wote. Lakini leo, Afrika bado inakabiliwa na umasikini, madeni, ukosefu wa ajira, na miundombinu duni. waasisi wa uhuru kama Julius Nyerere (Tanzania), Kwame Nkrumah (Ghana), na...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 86 zaimarisha maendeleo Lindi chini ya uongozi wa Rais Samia

    Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi Shilingi Bilioni 86 Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji wa Miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…