likizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

    1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi 2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe) Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo., Mmeruhusu haya?
  2. JamiiForums Tanzania Suala la elimu na likizo za watoto

    Nasoma gazeti la Mwananchi hapa kuhusiana na mvutano aidha watoto waende likizo au wabaki shuleni kujisomea. Mjadala huu ulikuwa Bungeni. Kuna hoja kuwa baadhi ya mikoa kupitia wakuu wa mikoa imepanga utaratibu wa kuongeza "ufaulu". UFAULU kwenye maeneo yao. Sehemu nyingine Mbunge na mmiliki wa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

    Kipindi cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani. Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi. Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu: Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Wanafunzi wasizuiwe kwenda likizo

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema wamepokea malalamiko kwamba kuna Shule zinazuia Wanafunzi kwenda likizo bila kushauriana na Wazazi huku Wazazi wengine wakitakiwa kulipa ili kuwaweka Wanafunzi Shuleni ambapo amewataka Viongozi wa Shule kutambua kuwa ni haki ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, sisitiza umuhimu wa kutowabakiza watoto shule kipindi cha likizo

    Habari wanabodi, Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu pilikapilika za wanafunzi kusoma shuleni. Imekuwepo tabia ya baadhi ya shule kuwabakiza wanafunzi kipindi cha likizo kwa kigezo cha kuwaandaa na mitihani ya taifa. Kitendo hicho ni kinyume na sera pamoja na miongozo ya elimu inayomuhitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

    Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne . 1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wilaya ya kilwa hawapewi likizo?

    Habari wadau, ni takribani mwaka wa 4 sasa naona wanafunzi wanaosoma sekondari na msingi hususani madarasa ya mitihani hawapewi likizo mwezi wa 4, hali hii inawanyima wanafunzi muda japo kidogo wa kupumzisha vichwa vyao. Hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufumbiwa macho na wadau wa elimu...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi imeishiwa wanajeshi hadi inarejesha vitani waliojeruhiwa na kupewa likizo

    Jameni Warusi wanapitia mateso sana, mtu amejeruhiwa amepasuka pasuka analazimishwa arudi vitani akapigane na kufia huko, hii aibu itaisha lini maana kama inazidi kuwa mbovu..... Severely injured Russian soldiers are being returned to the frontline in Ukraine without the approval of military...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Likizo siku 60 kisheria imekaaje?

    Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

    Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini. Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

    Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki. Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
  13. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mzazi au mlezi anatakiwa kuzingatia pindi mtoto akiwa likizo

    Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya: 1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku. 2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule. 3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu. 4. Jadiliana naye...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

    Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara. Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nimekosa interview kwasababu ya kuwa kwenye likizo ya uzazi

    Habari, Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri. Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
  17. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo wa Urusi kupewa likizo wakapigane Ukraine - aibu hadi lini

    Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana Kainchi ka Ukraine kwenye hii ramani, hata wale wanaoshabikia Urusi kisa mihemko ya kidini ya chuki zao kwa Marekani wanapaswa wapate...
  18. JamiiForums Tanzania Shirika la Bunge la Morocco lapendekeza wanawake kupewa likizo ya hedhi

    Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo. Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
  19. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Likizo imeanza, tulia kwako kina junya wapo makwao

    Wakuu sina haja ya salam. Huu ni ushauri tu kwa nyie mnaopenda visafari vya hapa na pale. Watumishi wa kada ambazo zipo likizo kama walimu nawashauri mtulie tu makwenu. Kwanini nasema hivo, hii likizo ni ndefu kina junya nao hawaendi shule wapo tu wanaangalia katuni nyumbani kwao, ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…