ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

    Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo 03/07/2021: Simba 0-1 Yanga 11/12/2021...
  2. JamiiForums Tanzania Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  3. JamiiForums Tanzania Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  4. JamiiForums Tanzania Jezi 15 za 'Basketball' zinazouzwa zaidi Ligi ya NBA, LeBron James anaongoza

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa. Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers imeongoza kwa mauzo ikifuatiwa na Jezi namba 30 ya Golden State Warriors inayovaliwa na Stephen...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  6. JamiiForums Tanzania Malipo ya waamuzi katika ligi kubwa za ulaya

    Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi. Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Granit Xhaka ndio kuigharimu Arsenal mchezo wa leo, na ubingwa wa ligi

    Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja Kitu ambacho kimebadili mchezo wa leo wakati Arsenal ikiongoza 2-0 ni kitendo cha mchezaji wao Granit Xhaka kutaka kupigana...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  10. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Barcelona kufungiwa kushiriki Kombe la Mabigwa Ulaya (UEFA)

    Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania. Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

    Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo. Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023. Chanzo: East Africa TV
  12. JamiiForums Tanzania Hatuweze kuwa na ligi binafsi nje ya TFF?

    Huyu kidao bifu zake binafsi na roho mbaya imezidi
  13. JamiiForums Tanzania Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

    Kwema wakuu! TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani kuna member ambao ni waasisi na ma-father wa Ligi Fulani Fulani. Yaani wao mawazo Yao Kwa sehemu...
  17. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

    Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI? Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga...
  18. JamiiForums Tanzania TFF endesheni ligi kimataifa zaidi

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo Na ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini. Nimefurahi sana kuona timu zinazoshiriki michuano ya caf hazina vipolo kwenye ligi. Ila waamuzi wetu bado hawako kimataifa zaidi Bali wako kinjaanjaa Na kishabiki zaidi kwenye maamuzi Yao. Hali hii inawalemaza...
  19. JamiiForums Tanzania Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  20. JamiiForums Tanzania Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

    Mtandao uliotoa takwimu na kusema Tanzania inashika nafasi katika ligi tano Bora Afrika bila kujali Kigezo walichotumia huenda takwimu hizo zilisukumwa na aidha kutokuwa na taarifa sahihi kuhusu ligi za Afrika, au mitazamo na mihemko binafsi au labda alitumia Kigezo cha kuwa na mashabiki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…