ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Azam wameamua kuwa wahuni kama kaka zao sasa ligi kuu itanoga

    Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona. Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi. Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi kama wanajangwani Azam sasa kuna viashiria vya ndumba kama msimbazi Azam sasa wanafanya uhuni kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

    Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo Mchezo umeanza 5' Coastal wanaonekana kuwa makini 10' Kasi ya mchezo siyo kubwa 12' Matokeo bado ni 0-0 15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi 27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu 28'...
  3. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Simba kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu 22-2023?

    Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni. Lakini pamoja na yote, swali la Msingi ni kwamba Simba imefikaje katika hali hii? Hapa ndipo kwenye tatizo la msingi. Simba...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  7. JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  8. JamiiForums Tanzania AZAM FC imeshinda mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu Bara, unazungumziaje mwenendo wao?

    ✅ 1-0 v Simba ✅ 1-0 v Ihefu ✅ 2-1 v Dodoma Jiji ✅ 4-3 v Mtibwa Sugar ✅ 1-0 v Ruvu Shooting ✅ 1-0 v Namungo ✅ 3-2 v Coastal Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
  9. JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga | Ligi kuu NBC | Liti

    Baada ya vibe la kombe la dunia huku Argentina akiwa haamini macho yake, ligi kuu Tanzania Bara leo inarejea. Kuwa nami nikujuze yanayojiri kutoka kwenye dimba la Liti mkoani Singida. Dodoma Jiji wamejigamba leo wanaenda kuuvunja mwiko na hamna mtu atasimama dakika ya 46 kushangilia unbeaten...
  10. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

    14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania 16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar 19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars ✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni. ✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

    Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9. Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila Yanga ikifungwa tu kelele zinaanza. Yanga ndio...
  12. JamiiForums Tanzania TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Saido Tibazonkiza amecheza ligi kuu ya ufaransa (league I)?

    Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo. Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

    Habari wakuuu. Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau. Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini. Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga??? Hizi timu TFF. Bodi ya ligi. Hata...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons na Singida Big Stars zafungiwa kusajili Ligi Kuu

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili wachezaji wenye mikataba na klabu zingine. Uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji umefanywa...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  18. JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  19. JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu NBC baada ya mizunguko minne

  20. JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…