leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Watalamu wa Radiografia (MPIRC) kuchelewesha leseni zetu

    "Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026. Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote za maombi na malipo kupitia mfumo wa HPRS (Tanzania Health Practitioner Registration System), lakini...
  2. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo ndo maana kila kukicha wanalalamikia kufeli mitihani ya leseni

    Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa uombaji leseni Baraza la Madaktari (MCT) unasumbua

    Ni zaidi ya Mwezi sasa Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) limebadilisha mfumo wake, sasa website yake imekuwa ina changamoto katika uombaji wa leseni mpya au ku renew ili ku-practice kwenye mwaka wa kifedha huu, changamoto hiyo inaleta hofu pia kwa sisi waombaji wa ajira kuwa shortlisted, huwezi...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili nahangaika kuuhisha leseni ya Tausi. Nimekamilisha kila kitu kinachotakiwa, lakini sasa naambiwa directors siyo wa Tanzania

    Msaada tutani , upande wa Tausi watu wa ILALA , Nimekusanya document zote zinazotakiwa kwa usahihi wame-reject. Sasa kwa wiki 2 na wamekuja na kisingizio kuwa sisi sio raia wa Tanzania. Tume-operate kampuni hii zaidi ya miaka 10 na tumesoma na kukulia Tanzania, na tumeamua kufanya shughuli zetu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kupata leseni ya biashara Brela?

    Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail sale via mail order houses or via Internet naomba kufahamishwa hii inaangua kundi A au Kundi B, kama...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) matokeo ya leseni mnatoa lini?

    Habar wana Jf Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu! Sasa hawa jamaa muda unazidi kwenda hawatoi matokeo wako busy kukusanya hela za marathon ambazo sisi hazitusaidii, sisi tunataka...
  10. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗦𝗼𝗹𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana upate...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Renew leseni yako Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Hakikisha una Renew leseni yako ya biashara Mapema. Kama leseni yako huisha December.
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya Biashara ya mapochi

    Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
  13. JamiiForums Tanzania Hatua za Kupata Leseni na kufanya Biashara ya Kuuza Nafaka (Mazao)

    Ngazi za Biashara ya Mazao Ngazi ya Kaya Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni. Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi. Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji Baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yaahidi kufuta kigezo cha leseni kwa wavuvi

    Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

    Migahawa, hoteli za kawaida, wakala wa bima, vyama vya ushirika, usajili wa abiria, viwanda vidogo, udalali, na biashara za jumla/rejareja.
  18. JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi A?

    Biashara zenye mtaji mkubwa kama vile benki, bima, huduma za mawasiliano, bandari, utalii, na maduka ya kubadilisha fedha.
  19. JamiiForums Tanzania Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?

    Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
  20. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…