lengo

The ancient rock art site of Lengo is located in the Bakouma region of the Central African Republic.

View More On Wikipedia.org
  1. Rominno

    Je nianzie wapi kufikia lengo langu

    Wakuu habari, natumai mko poa kabisa. Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana. Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni functional drink. Kwakuwa ndio niko kwenye starting point, vipi nianzie wapi? Maana kuna hizi mamlka TMDA...
  2. Davidmmarista

    Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Lengo la Agustino Polepole kujitokeza ni lipo haswa?

    Hamjambo! Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza. Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote...
  4. H

    Kutengeneza vioja kwa lengo la kulichafua Kanisa Katoliki kunadhihirisha uwezo mdogo wa akili wa wapanga huo uovu

    Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
  5. MakinikiA

    Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

    Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani. Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA...
  6. secretarybird

    Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

    Nielewesheni nielewe wakuu wangu.
  7. funaku

    Lengo la press conference ya Butiku ni lipi?

    Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini . Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha. Tabia hii itakomeshwa lini?
  8. Pakome

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu, sio ajabu Chupi akavaa kichwani, Bunduki haikuwa na lengo la kuonea

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
  9. Fbn

    Lengo lao la kutaka CCTV camera ziwe na usajili ni nini?

    Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili. Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio. Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
  10. K

    Polisi ni wengi mtaani lakini leo ni lazima lengo litimie

    Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
  11. Genius Man

    PostGE2025 Wameunda Tume ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri

    Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
  12. Carlos The Jackal

    Nahisi kuna Project ya wanamtandao kutumia Manabii kutoa tabiri zenye lengo la kuipooza Mioyo ya Wananchi

    Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo. Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
  13. F

    Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  14. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  15. Roboti Wa Nape

    Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

    Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10. Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9. Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa...
  16. comrade_kipepe

    Hivi Nyerere lengo lake haswa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar lilikuwa nini?

    Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??) Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
  17. M

    Lengo kuu la Maandamano lilifanyika, Hatua Ijayo ni Uasi

    Hakuna kificho wa pingamizi kuwa uchaguzi haukufanyika. Samia alipachikwa na maafisa wa juu wa Jeshi, kwa maana nyingine Jeshi lilifanya Coup D'etat na kumuweka Samia, sasa watakuwa na ushawishi mkubwa kuliko wakati wowote. Jambo la pili waandamanaji wamefanikiwa kuivunja CCM Na kujenga chuki...
  18. comrade_kipepe

    Hili lengo lisipofanikiwa kuna watu wataishi kama wapo motoni

    Baadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi. ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI. zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
  19. 888I

    Msimbo wa Tarehe 29/10: Lengo, Kizingiti, na Mfumo wa Nne

    Ndugu zangu wana-Jukwaa, Kadiri kalenda inavyoelekea kwenye Tarehe 29.10, tunajiuliza: Je, "Jibu" litatokea kama tunavyotarajia? Kuna ishara kwamba kadi ya kwanza huenda ikashinda safari hii na kuingia kwenye chumba cha Mfalme. Tuseme kwa lugha ya hesabu, A atapata jibu linalohitajika kwenye...
  20. SinaMdaa

    Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

    Habarini wakuu, natumaini mu wazima. Moja Kwa Moja kwenye mada, Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa haitatui matatizo iliyopaswa kuyatatua . Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya...
Back
Top Bottom