LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1 TB SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro...
Bei LAKI 9. CHARGE HOURS 6 HRS
Karibuni 0672701329
LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1TB. ..... SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro...
BEI LAKI 9
Karibuni 0672701329
Habarini wakuu,
Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote.
Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika.
Nipo Dar Es salaam...
Habari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni
Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows.
Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye...
Salaam, Shalom!!
Nimewahi kuandika Thread isomekayo,
Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.
Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
Hellow guys kwema?
Ninauza laptop ya Samsung, Ram 4GB, processor 1.5ghz, HDD ~500 GB, haikai sana na chaji unachomeka moja kwa moja ukutani, Price ni 200,000/
Contacts: 0759~124378
Nipo Mbezi ya Kimara
HABARI
Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia nigeni niokoeni nisiende kupigwa na kitu kizito
PATA MALI KATIKA UBORA WAKE, ALIKUWA ANAITUMIA MCHINA, AMEIACHA KATIKA HALI NZURI HAINA DOSARI,
SPECIFICATIONS
Model ya PC: DELL Latitude E6530
Core i5
RAM 6
SSD 232
BEI ni TZS 450,000/= tu, Njoo Ukikimbia
For Serious Buyers Only, call 0622440414
Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru.
UWEZO WAKE:
√ Zinatumia mfumo wa Android
√ Ni Touch screen
√ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7
√ Masomo ya sekondari O-level
√...