laptop

  1. Miss Natafuta

    Nauza vifaa vya laptop tablets na desktop kwa bei ya jumla

    Wakuu naombeni mniungishe WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Hata pc moja nakupa bei ya jumla . ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
  2. General Nguli

    Jinsi ya kupakuwa move free on laptop...

    Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free... Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it... Natanguliza shkran za Dhati.
  3. Deejay nasmile

    Computer4Sale Nauza laptop laki na 80 tu

    Wakuu habarini. Nina shida kidogo ya kifedha hivyo nina laptop yangu haiko vizuri kimuonekano, lakini inapiga kazi mwanzo mwisho. Ndio ninayoitumia hata katika kazi zangu za muziki..naiuza kwa tsh 180000 tu. Ni dell e6400 ram gb4 haddisk ina gb150. Ukitaka nakubadilishia nakuwekea 500gb...
  4. CK Allan

    Nina 500k nahitaji laptop

    Wakuu nahitaji laptop Hela niliyo nayo 500,000 Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 6+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA Ukubwa wa Kioo usizidi nch 12 yaani iwe ndogo iwezekanavyo Chaji angalau masaa 3 Dell, au HP ni kipaumbele. ISIWE YA WIZI isiwe na...
  5. M

    Napunguzaje matumizi ya mbs nikiwa na browse websites kwa laptop yangu

    nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
  6. Baba Atifah

    Computer4Sale Nauza laptop HP probook used as new

    HP PRO BOOK core i5 Generation 4 Ram 4 GB 2.60GHz Window 11 pro 500 GB Cd door WiFi Bluetooth price 390,000 Call 0692562259
  7. Paa

    Nichukue laptop ipi kati ya hizi mbili?

    1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16 GU605MI-G16.U94070 Intel Core Ultra 9 185H 16GB RAM 1TB NVMe SSD NVIDIA GeForce RTX 4070 16" 240Hz OLED 6.1m 2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8 1TB SSD 32GB RAM CORE I9 113th gen INVIDIA GEFORCE RTX 4060 (8GB) DEDICATED WINDOWS 11 HOME 16.0” WQXGA BATTER 4 CELL 5.7m
  8. 90sgeneration

    Computer4Sale Tunauza Laptop kwa bei nafuu

    Zipo PC 10 tu nazitoa kwa bei ya ofa ya 385,000/= haina punguzo Dell 3189 Touch screen✅ Intel cerelon SSD 128GB RAM 4GB CONTACT :0697224996
  9. Aerma

    Computer4Sale Nauza laptop bei kitonga-Mpya kabisa

    Nauza laptop my kabisa Laptop HP laptop 17 Processor: 11th gen, Intel tm 1.5 Hard drive: Ram 476 GB Memory: 16 GB Location: dar es salaam Contact: 0756523615 Price: 450,000.
  10. T

    Computer4Sale Nauza laptop kali kwa bei kitonga

    Ni zaidi ya ofa. Brand Name: Hp ProBook 640 G1 Generation type: 4th generation Storage: HDD 500gb RAM 8gb (1 out of 2 slots) Processor : Intel(R) Core(TM) i5-4210M CPU @ 2.50GHz (4 CPUS), Display size 14" Intel graphics total 4gb, VRAM 112 mb Battery 🔋 lasts 3hrs+ Bei 380,000/= tu Tupigie...
  11. Aerma

    Computer4Sale Nauza laptop

    Nauza laptop HP laptop 17 Processor: 11th gen,Intel tm 1.5 1135. Memory: Ram 16 GB Hard drive: 476 GB Location: Dar es salaam,ilala. Contact: 0756523615 Price: 650,000 tsh.
  12. Jumanne Mwita

    Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  13. kikoozi

    Computer4Sale Nauza Computer HP Laptop mbili (2) mali yangu binafsi

    LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE Brand: HP Model: Probook 450 G5 Ram: 16 Storage: 512 (SSD) Proccesor: core i5 Bei: Tsh 680,000/- Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa Location Mbezi Dsm Phone No: 0714739838 Karibuni
  14. Mpinzire

    Laptop Core i5, 7th Generation kwa Tsh 300,000.00

    Njoo nikupe nikuuzie laptop ya kusomea kwa binti yako au wewe mwenyewe. B Hp Probook X360 11 G2 EE *Processor:- Intel Core i5-7Y54 CPU @1.20GHz 1.61 GHz *Ram :- 8 GB *Storage:- 256 GB (SSD) *GPU Memory:- 4 GB *Touch screen *11 inches *Battery:- 4 hour's *Windows 11 22H2 *2 in 1...
  15. kinojet

    Computer4Sale Lenovo Laptop G50-70,450000 nzuri kwa Graphics

    - LENOVO G50-70, CALL 0786570530 SPECIFICATION -Laptop Clamshell Black Intel® Core™ i7 i7-4500U 1.8 GHz 39.6 cm (15.6") HD 1366 x 768 pixels LED backlight Gloss 16:9 4 GB DDR3-SDRAM 1600 MHz 1 x 4 GB 500 GB Hybrid-HDD DVD Super Multi DL AMD Radeon R5 M230 2 GB Intel® HD Graphics 4400 Ethernet...
  16. Mr dollar

    Njoo ujichagulie laptop nzuri na bei nafuu

    NEW ARRIVAL🚨 💥 High Quality Used clean Laptop. A Grade🔥 👉Dell 3189 x360 Touch screan 👉Intel Pentium 👉SSD 128 👉 RAM 4GB DDR4 👉Touchscreen Display 👉Price ONLY Tshs 420,000/-* 255713520180
  17. B

    Je, unatafuta vifaa (Vipuri) kwa ajili ya laptop/ desktop? Karibu

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite. Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo. Je, unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu uliouzoea na...
  18. B

    INAUZWA Vifaa (vipuri) vya laptop & desktop

    𝘒𝘢𝘮𝘢 𝘜𝘯𝘢𝘵𝘩𝘢𝘮𝘪𝘯𝘪 𝘓𝘢𝘱𝘵𝘰𝘱/𝘋𝘦𝘴𝘬𝘵𝘰𝘱 𝘺𝘢𝘬𝘰 𝘜𝘴𝘪𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪 𝘏𝘪𝘪 𝘐𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘦.....! 𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿 𝗡𝗱𝘂𝗴𝘂.... 𝘏𝘢𝘵𝘢 𝘒𝘢𝘮𝘢 𝘶𝘮𝘦𝘬𝘶𝘸𝘢 𝘜𝘬𝘪𝘵𝘢𝘧𝘶𝘵𝘢 𝘝𝘪𝘧𝘢𝘢 𝘷𝘺𝘢 𝘓𝘢𝘱𝘵𝘰𝘱/ 𝘋𝘦𝘴𝘬𝘵𝘰𝘱 𝘬𝘸𝘢 𝘒𝘪𝘱𝘪𝘯𝘥𝘪 𝘤𝘩𝘢 𝘯𝘺𝘶𝘮𝘢 𝘣𝘪𝘭𝘢 𝘔𝘢𝘧𝘢𝘯𝘪𝘬𝘪𝘰 𝘭𝘦𝘰 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘚𝘶𝘭𝘶𝘩𝘪𝘴𝘩𝘰 𝘭𝘢 𝘊𝘩𝘢𝘯𝘨𝘢𝘮𝘰𝘵𝘰 𝘺𝘢𝘬𝘰 𝘩𝘪𝘺𝘰, 𝘍𝘶𝘢𝘵𝘢𝘯𝘢 𝘯𝘢𝘴𝘪 𝘭𝘦𝘰..!! 𝘑𝘦 𝘜𝘯𝘢𝘫𝘶𝘢 𝘬𝘶𝘦𝘯𝘥𝘦𝘭𝘦𝘢 𝘬𝘶𝘵𝘶𝘮𝘪𝘢 𝘒𝘪𝘧𝘢𝘢 𝘤𝘩𝘢𝘬𝘰 𝘬𝘢𝘵𝘪𝘬𝘢 𝘶𝘵𝘢𝘳𝘢𝘵𝘪𝘣𝘶...
  19. D

    Computer4Sale Laptop aina ya Lenovo inauzwa

    Laptop LENOVO inauzwa kwa Gharama ya 200k maongezi yapo. Anapatikana Tabata Magengeni. Condition-Used, inakaa na chaji dakika tano tu hivyo inatumika ikiwa kwenye umeme Specs- RAM 4RAM HDD 300 PROCESSOR 1.7GHZ Wasiliana na muuzaji Moja kwa moja 0718378427.
  20. Y

    Computer4Sale Laptop inauzwa Mbeya mjini

    Laptop brand lenovo thinkpad inauzwa bei 350,000 location Mbeya mjini. Ram 4gb, storage 500gb, processor 2.6, core i5.
Back
Top Bottom