Kupotelewa na Laptop

Jul 11, 2015
73
46
Juzi Ijumaa, tarehe 16 Septemba 2022 nikiwa natoka kazini nilipark gari Bunju B hii sehemu ambapo gari za Bagamoyo zinazotoka Tegeta usimama na kupakia abiria.

Nilipaki gari na kushuka kuingia dukani kwa ajili ya kujipatia mahitaji kidogo ya Familia.

Kwenye gari niliacha begi lenye Laptop aina ya HP pamoja na charge yake ba mouse, simu dogo Aina ya sumsung, modern ya TTCL, kitambulisho cha kupiga kura, pia kitambulisho cha PSSSPF na kitambulisho cha bima ya afya.

Vile vile kulikuwa na fedha taslimu laki mbili na elfu tano. Vitambulisho vyote vina majina ya Steven S Tilus.

Naomba yeyote atayeweza kuviona sehemu vikiuzwa au kwa namna yoyote na Sana Sana Laptop kwa sababu Ina vitu vingi Sana vya muhimu tuwasiliane kwa namba hii 0772 099 471.

Vile vile naomba niwape tahadhari kwa wakazi wa Bunju B wanaopaki magari yao binafsi maeneo hayo magari ya Bagamoyo yanapopakia abiria na hasa kuanzia saa moja jioni wawe makini Sana kuna wizi mkubwa Sana.

Vile vile muwe makini Sana na mtu yeyote aliyefaa reflector ya TARURA pamoja na hawa akina mama wanaouza machungwa.

Nawasilisha _ Mimi ndio muathirika na mwenyeji Sana maeneo hayo
 
Pole kwa kupigwa tukio zito!!
Lakini naomba Tupe info vizuri uyo wa reflector na wamachungwa tukae nao chonjo kivip
 
Kama police wanaweza kutrack smartphone…hope computer itawezekana pia
 
Back
Top Bottom