landcruiser

  1. Jay_255

    Land cruiser inauzwa bei ya kutupa bado ipo clean kama mpya

    Toyota landcruiser 2003 Ni Manual inatumia diesel Mileage 169,000 Bei ni Milioni 28 (fixed) Ipo mikocheni dar es salaam Haihitaji dalali Mawasiliano 0782780980
  2. Meneja Wa Makampuni

    Car4Sale LandCruiser Double Cabin milioni 128 tu

    Single Unit Remain LandCruiser Double Cabin Currently Registration EAE DashBoard Kubwa Mwaka 2015/2016 Gold In Colour Low Milage OG Manual Drive 1HZ Engene Cc 4164 Diesel Engene Gear 6 Reverse ya 7 Five Seater Full Leather Seat Cover 4WD Rim'sport & 4 New Tyres Cd Radio Price 128ml Exchange...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Car4Sale Toyota Land Cruiser Hardtop 160,000,000/= (With full registration)

    TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP Model: 2022 Stock No: 0083 Engine Capacity: 4164CC Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE) PRICE: 160,000,000/= (With full registration) Call/WhatsApp 0747744895 Welcome
  4. M

    Boris Johson ameahid kuwapelekea Ukraine Landcruiser special pamoja na vifaa vingine vya vita na uokozi

    Mzuka Wanajamvi, Akilihutubia bunge la Ukraine leo kupitia video link, Waziri mkuu wa uingereza Boris Johnson ameahid atatuma msaada wa pauni za uingereza million 350 pamoja na magari, silaha na mawani ya kuonea gizan Pamoja na hayo pia ameahid atatuma Toyota Landcruiser (Specializes Toyota...
  5. AUTOMASI COMPANY LIMITED

    Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  6. Faana

    Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

    Ujumbe ukufikie popote ulipo, waliolala makaburini hawakujitakia, ni mapenzi ya Mungu, kitendo ulichofanya Kola makaburini leo tarehe 19.4.2022 saa 12:26 jioni siyo cha uungwana. Umesimamisha gari lenye namba tajwa na kuchepuka kukojoa kwenye eneo la makaburi bila hata haya, tumekupiga picha...
  7. Notorious thug

    Aliingia na "shangingi" Toyota Landcruiser akarudi na Bodaboda "toyo"! nyumbani!

    Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku...
  8. and 998 others

    TX Vs TXL (Landcruiser)?

    Wakuu hivi tofauti ya Landcruiser TX Vs TXL ni ipi?
  9. KndNo1

    Bimmer na Landcruiser V8

    Tukiwa safarini na wadau.. Tukasema tupime mwendo na Landcruiser.. Matokeo ndio kama hayo..! Hii test tumeifanya kwa kipande kifupi.. Then tukapunguza mwendo Landcruiser ikapita.. Rpms kwetu zilikuwa zinacheza kwenye 6k..V8 yeye engine kubwa stamina ya kutosha. Tahadhari spidi kali ni...
  10. Junnie27

    Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ. FAIDA MBILI KUU ZA TURBO 1. Kuongeza nguvu ya engine -Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika...
  11. Mowwo

    Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua? Gharama kwa siku ni kiasi gani? Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
  12. MagariTanzania

    Car4Sale Landcruiser Pick up Single Cabin for sale

    1991 model Japanese specs Leaf flatted spring Low mileage New tyres by BF-GOODRICH TRIANGULAR MARKS MUD TERRAIN Dashboard ndogo PRICE IS 77 MILLION TSHS PLUS REGISTRATION CALL/ WHATSAPP 0784225000
  13. MagariTanzania

    Car4Sale Toyota Landcruiser HZj 78 series for sale

    Recently registered number DT Pick up single cabin African specs from Toyota Tanzania special for Africa 2010 model year 1hz diesel power with black top 16-valve New four tires by GT-RADIAL mounted with original cruiser rims Wide screen dashboard The car is clean with a very immaculate condition...
  14. bezos2019

    Car4Sale Toyota LandCruiser Prado 2017 inauzwa

    LandCruiser Prado- TX TRJ150 Year: 2017 Cc: 2693 Eng: 2TR Fuel: Petrol Transmission: automatic Keyless/ push to start Sunroof Tires: Michelin Insurance comprehensive valid to OCT 2021 Total fuel card worth 100k Location: Dar es Salaam, Mikocheni Price: 110M
  15. aleesha

    Toyota Land Cruiser XVR

    Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
  16. EvilSpirit

    Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

    Kama kichwa cha thread kinavyojieleza swali langu ni hasa ni nini tofauti ya Landcruiser vx na Landcruiser GX magari haya hujulikana kwa jina la shangingi. Na je, huwa yana utofauti wowote wa kiumbo unaoweza kutofautisha hili ni VX na lile ni GX? Pia inaonekana kama VX linatamba zaidi ya GX...
  17. DOCTOR UZI

    Lexus lx570 vs toyota landcruiser v8

    Wakuu niaje Asee moja kwa moja kwenye mada kibongo bongo ukimuona v8 cruiser unaiheshimu ila kuna huyu mnyama lexus lx570 ni wa moto sana kwanzia interior and exterior design. Kuhusu hp performace mnyama lexus wa moto pia mjapan toyo ana 381hp huku mnyama lexi cute ni 383hp. Picha hapo...
  18. J

    CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

    Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi. Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
  19. Mawio

    Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  20. Mawio

    ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
Back
Top Bottom