(13E)-labda-7,13-dien-15-ol synthase (EC 3.1.7.10, labda-7,13E-dien-15-ol synthase) is an enzyme with systematic name geranylgeranyl-diphosphate diphosphohydrolase [(13E)-labda-7,13-dien-15-ol-forming]. It catalyses the reaction
geranylgeranyl diphosphate + H2O
⇌
{\displaystyle \rightleftharpoons }
(13E)-labda-7,13-dien-15-ol + diphosphate
The enzyme from the lycophyte Selaginella moellendorffii is bifunctional
Huyu mzee bhana ananifurahisha na kauli zake! Yani uzee wake ni kama Gen Z
============
Hakuna mwanaume atakae andanamana tarehe 9, jibu Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako" Mtoto wa kwanza wa mwalimu Nyerere 😃
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka.
Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao.
Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
Millenials tulipoingia kwenye uwanja wa ajira tulikuta fursa zipo zipo kidogo. Fursa za serikalini, biashara na hata zikajitokeza za boda boda na bajaji. Leo hii fursa hizo zimejaa na wala hakuna mpya zinazoonekana. Gen Z wanaingia uwanja wa ajira na hawaoni fursa zozote. Biashara kuna frame...
Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine.
Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko.
Au mnasemaje wakuu?
Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida.
Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii
"Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa"
"Sita simama maovu ya kitawala......"
Ukizingatia kwa kile tunachokiona watu wakitekwa na kuuawa ufisadi na machukizo kama yote halafu bado mnaomba nyimbo zinazoamsha hisia...
Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu.
Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya Kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !
Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka
Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii...
Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya kuisaidia jamii inayowazunguka kupitia ujuzi/elimu waliyonayo.
Sasa kama msomi hawezi kuitumia elimu...
Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu.
Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.