laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  2. M

    Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  3. Si kila changamoto ni laana – jifunze lugha ya sayari

    Kama ambavyo mwili wa nyama unaweza kuchafuka kwa uchafu wa kimwili, vivyo hivyo nafsi ya mwanadamu huweza kuchafuka au kuingia kwenye majaribu makubwa kutokana na mizunguko ya sayari katika ulimwengu huu wa kiroho na wa kiastrologia. Watu wengi wanapopitia magumu, hukimbilia kusema “nimerogwa”...
  4. Je, umasikini ni laana?

    Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiwe
  5. Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  6. Kuna tofauti gani kati ya funzo adhabu na laana?.

    Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana ya Mtu au Watu uliowakosea kwenye harakati zako za maisha. Sasa mtihani unabaki namna ya kutambua...
  7. Laana ya mizimu na hatari katika maisha yetu hakika nyota zetu zipo kuzimu

    LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
  8. Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  9. Hakuna familia yenye laana acheni kudanganya watu nyie waganga,na wachungaji!

    Eti kanisa lina Andaa wiki ya kuikomboa familia kutoka katika vifungo. Wiz I mtupu
  10. Video: Polisi alalama mshahara mdogo asema anazidiwa na mke ambaye ni mwalimu 'sijui ni laana tumelaaniwa?'

    Polisi huyu mbele ya waziri anadai mshahara wake ni mdogo kiasi cha kuzidiwa mara mbili na mkewe ambaye ni mwalimu huku akihisi kuwa huenda ni laana iliyopelekea kulaaniwa :AAAA::AAAA:
  11. R

    Watanzania wengi wanahisi laana zao zimefanya kazi wanapoona mkandamizaji kapatwa na maradhi ama kafa

    "Malipo ni hapahapa duniani" Nawaombea mabaya yawakute" Hizo ni laana zinazotoka unapomlaani mkandamizaji iwe ni Mwanasiasa alietumia madaraka vibaya kukuumiza, Kigogo aliekupora shamba, Bosi aliyekunyanyasa kazini, Mwanasheria aliyekusaliti kwa kupokea rushwa, Polisi mliezinguana akakubambikia...
  12. HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  13. Je kutafuta mali bila kuziendeleza ni laana inayowakabili Waafrika weusi?

    Mpendwa Mwafrika mwenzangu, Leo nakuandikia tafakri yangu binafsi, lakini pia kwa tumaini. Uchungu kwa sababu kuna jambo linaloendelea kwenye jamii zetu ambalo linatufanya tusisonge mbele kama tunavyopaswa. Tumekuwa watu wa kutafuta, lakini si watu wa kuendeleza. Tumekuwa hodari wa jasho...
  14. Inasemakana Masakuu Mbagala kuna laana isiyo kifani kitambaa cheupe ikasome. Je ni ya kweli hayo?

    Mimi sio mkazi wa Daslam lakini wenye mji wao kwenye mitandao ya kijamii wanasema hapo Masakuu Mbagala Kuna laana isiyo ya kawaida kitambaa cheupe irudi darasani kwanza. Wanasema watu wanakulana mubashara wa kushangza !! Wenye mji wenu Je Kuna ukweli wowote ule? Location yake hii hapa
  15. Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    Wasalaam Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya... Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
  16. Mastori: Unaifahamu laana ya maarifa(Curse of Knowledge)?

    Umewahi kutana na mtu ana maarifa mengi lakini anapata tabu au ni kama 'mvivu' kujieleza. Pamoja na sababu nyingine hii inaweza kuwa imesababishwa na laana ya maarifa. Curse of knowledge ni kitendo cha mtu mwenye maarifa kudhani kuwa kila mtu anayo hayo maarifa. Yaani mtu anaamini anayoyafahamu...
  17. F

    Kukosa akili ni tatizo la ki genetic, si chakula wala mazingira - si laana

    Unakuta mmezaliwa 8 kwa familia moja Wote hamuwezi.kuimba. Wote hamuwezi kuanzisha biashara yoyote ile Wote hamna uwezo wa kufaulu..yaani wa afadhali ni div 4 ya 28 Wote hamuoi wala kuolewa Wote mnajikuta ni walevi, sigara; mnapenda ngono, bange nk Wote hamuondoki kwa wazazi wenu, mnaoa na...
  18. M

    Wazazi masikini punguzeni matamko yenye viashiria vya laana kwa watoto zenu

    Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
  19. Watu weusi na laana ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe

  20. Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…