kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

    Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kazi aliyotumwa Msigwa kwenda kuifanya CCM ameifanikisha?

    Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana. Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
  4. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha πŸ˜€πŸ˜€ Wazee wa kupiga bao
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

    OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
  6. JamiiForums Tanzania Sipendezwi sana na mashambulizi ya matusi kutoka Kwa viongozi wa Chadema kwenda kwa police

    Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo, Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1 Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police Kuwaita masikini, kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

    Sema miji ya Tanzania hovyo sana Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band...
  8. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

    Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule πŸ˜‚. Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Trump china kwenda kuomba huruma ya vita

    Je unahisi hapa Raisi Jinping anafikiria nini hapa baada ya kutembelewa na Trump
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunalipa nauli mara mbili kutoka Tandika kwenda Pugu, hii sis awa

    Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
  11. JamiiForums Tanzania PATA CAR DIAGNOSIS SCANNER JUA TATIZO LA GARI LAKO KABLA YA KWENDA GARAGE

    πŸš— OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! πŸ”§ Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi πŸ’― βœ… Inasoma matatizo ya engine (Check Engine) βœ… Rahisi kutumia – Plug & Play βœ… Inafaa kwa magari mengi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbezi Magufuli kuna gari za kwenda Mbweni Gen Isamuhyo?

    Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani.
  14. JamiiForums Tanzania Hongereni wanaume mnaoweza kwenda shopping na wake zenu kisha mkarudi wote kwa furaha mimi yamenishinda

    Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Uswiss katika kupunguza uchafuzi wa Mazingira wanajenga Reli kwenda Italia , Sisi tunakwamisha Miradi yetu ya Reli.

    Switzerland sustainability goals in usage of Rail transport more than road transport Switzerland has adopted an ambitious long-term climate strategy to achieve net-zero greenhouse gas emissions by 2050, with a core focus on shifting traffic from road to rail, particularly for freight and...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini wanaishi miaka 5 zaidi kuliko wale wasiofanya hivyo

    Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi. Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo. Utafiti ulioongozwa na Arthur Szabo kutoka University of Kiel unaonyesha kwamba kitendo rahisi cha asubuhi...
  17. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi Juu ya Uhamisho kutoka Halmashaur kwenda Taasisi za Elimu za Juu

    Habari ? Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na michakato ya Kuhama kupitia Uhamisho_ Mfano Mtu anaeomba kuhama kutoka halmashauri 'z' kwenda taasisi za elimu ya juu mfano Udom, Udsm,Mwalimu Nyerere,Cbe,Mzumbe,Ardhi, Isw, n.k baada ya barua yake kupitishwa na mwajiri wake kwenda taasisi husika_ Je...
  18. JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Walioondoka CHADEMA na kwenda CHAUMMA walitaka Madaraka

    Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) "Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana huru wa Tanzania watoa msimamo kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza Oktoba 29 hadi 31, 2025

    Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo yaliambatana na upotevu wa maisha, majeruhi, uharibifu wa mali na miundombinu, pamoja na kutoweka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…