kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwl Never Better

    JamiiForums Tanzania Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo.

    Nmeomba mkopo wa chuo kikuu ni mwaka wa tatu Sasa sijafanikiwa kwenda chuo. Kwasababu ya kukosa mkopo. Je ni njia gan nitumie niweze kupata mwaka huu? Au ni vizuri nikajiunge na vyuo vya kati? Naomben mawazo hapo........
  2. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  3. Tman900

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnisaidie mkoa Wa Kwenda, Matembezi

    Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6 Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema. Naomba isiwe mikoa hii. 1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo. 2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa, njombe,MBEYA...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Familia yako imetekwa na unatakiwa kuchagua watu wawili wa kwenda nao kuokoa familia

    Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  6. Crimea

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

    Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Aviator yampotezea Dismas Tsh Milioni 57 za kwenda kusoma Scholarship Uingereza

    Raia mmoja Mkenya amepoteza zaidi ya KSh2.8 milioni sawa Tsh Milioni 57 kwenye jukwaa la kamari la Aviator, pesa ambazo zilikusudiwa kufadhili masomo yake nchini Uingereza. Dismas Mutai, ambaye alikuwa amejiandikisha katika Chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko **London Uingereza**kwa kozi ya mwaka...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe tulikotoka, Wasabato Masalia na ndoto ya kwenda kumhubiri Papa Aache 666 na afuate ibada za Jumamosi

    "Wasabato Masalia"....Hawa siku hiyo waliamka Asubuhi na Mission Moja hivi"Kuihubiri Injili Ulimwenguni Pote", wakaenda kupiga kambi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam, wakisubiri safari yao ya kimiujiza kwenda kuhubiri neno la Bwana kule Iraq na penginepo Duniani hii...
  9. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda china

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimefikiria namna ya kuongeza kipato changu nikapata njia ya kwenda china ili niwe naagizwa na wabongo wenzangu niwatafutie bidhaa na kuwaagizia, ili walau niwe napata kiasi kidogo cha pesa. Pia niwe natafuta machimbo ya vitu vya bei rahisi na kuwaonyesha...
  10. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenda Dar ndio safari fupi zaidi ya Ndege , kwa dakika 16 tu

    Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways. Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja. Kwa...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

    😂😂
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba na Yanga hawatakiwi kwenda Bar mwezi mtukufu?

    Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo. Mashabaki hao...
  14. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Wasomi mna options mbili tu kwasasa, kwenda VETA au kufanya career development

    CAREER SPECIALIZATION, PROFESSIONAL GROWTH, AND MARKET VALUE The world has changed significantly, and no one will value your education (profession) alone. Employers today do not hire based solely on academic qualifications, although they still look for some connection to professional...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

    Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45. **Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo, 1. AFYA: Awe tayari kupima...
  16. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

    Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁 Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya. Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
  18. Soul21

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwenda kwa Raila Odinga ni kukosa mwelekeo?

    Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa. Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake...
  19. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
Back
Top Bottom