kwaya

for the commune of Niger see Kwaya, NigerThe Kwaya are a Bantu ethnolinguistic group based in the Mara Region of northern Tanzania, on the southeastern shore of Lake Victoria. In 1987 the Kwaya population was estimated to number 102000.

View More On Wikipedia.org
  1. Pongezi kwenu wanaume mnaoimba kwaya. Wenzenu yametushinda

    Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!. Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda. Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka! Kwamba...
  2. W

    GE2025 Baba Levo atoa milioni 5 kwa ajili ya kusaidia shughuli za kwaya Kanisa la FPC Majengo

    Wamemaliza kwa vyombo vya habari sasa wanaingia kwenye nyumba za Ibada kusambaza bahasha. Kwanini siku zote asichangie? Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo leo Oktoba 19, ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa la FPC Majengo, ambapo alihudhuria kama mgeni rasmi...
  3. Kwaya za Kisabato Tanzania zimepotea kwenye Ramani ya uimbaji kutokana na kuiga uimbaji wa Kwaya ya Ambassador ya Rwanda.

    KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
  4. True Story: Kutoka kwenye kuongea kithembe na kuguguma guguma Mpaka kuwa Mwalimu Mahiri wa Kwaya

    TRUE STORY: KUTOKA KWENYE KUONGEA KITHEMBE NA KUGUGUMA GUGUMA MPAKA KUWA MWALIMU MAHIRI WA KWAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama kuna jambo unadhani huliwezi, nakuhakikishia unaliweza. Kama unadhani kuna jambo unalihitaji na umekata tamaa kulipata. Nakuhakikishia huja haja ya kukata...
  5. Dini isiyokuwa na Kwaya wakati wa Ibada, inakosa Uhondo!

    Katika maisha ya ibada, mahubiri na mafundisho ni nguzo kuu za kukuza imani na kuwaelekeza waumini jinsi wanavyopaswa kuishi au kuenenda. Hata hivyo, muziki wa kwaya hutoa ladha ya kipekee inayogusa moyo moja kwa moja, mahali ambapo maneno pekee hayawezi kufika. Ibada bila nyimbo za kwaya ni...
  6. Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

    MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood. Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji... Sefania 3:17 BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba. KWa nini NDUGU zetu...
  7. U

    Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  8. PreGE2025 Mbunge atupele Mwakibete afanikisha kukusanya Milioni 27, harambee Kwaya ya KKKT usharika wa Kandete Mwakaleli

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo. Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi ambaye ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mwakibete...
  9. Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

    Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo: 1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea. Pia nimenunua water boiler ya lita 30, hivyo nachemsha maji, nayachuja na kitambaa kisafi cha nailoni, yakipoa...
  10. Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  11. U

    Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  12. Wimbo wa kwaya Kumuhusu Shetani

    Habari za muda huu wakuu, Let's go Kwani yule aliyeimba "Shetani na Mama mkwe wake wanalia, Shetani na Mama mkwe wake wamekalia msumari" Alikuwa anawaza Nini Wakuu ???
  13. Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  14. Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  15. K

    Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
  16. Kwaya za utumishi ni usanii. Mh rais iwe makini na wasanii. Ni wale funka kombe mwana apite.

    Mh rais naomba uelewe kuwa utumishi kwaya sio kila kitu wanafanya usanii
  17. Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
  18. Gideon Kasozi, Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni hivi sasa yuko wapi?

    Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
  19. Walioimba Kwaya kwenye Msiba wa Magufuli mbona siwasikii huu wakiimba kuhusu DP World Msiba wa Taifa?

    Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi? Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
  20. B

    Huyu Manzi kila nikikutana naye Guest ananiwekea Nyimbo za kwaya na Injili. Nimechoka sasa!

    Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako. Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu? Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya. Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…