kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo hiki cha kigaidi kilichofanywa na Polisi, Tanzania lmekuwa zaidi ya Somalia

    Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza. Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti hospital, kwa taarifa za kuaminika police walipeka maiti hospital October 29 kisha wakaziteka na...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uhalisia wa mitandao Tanzania: Namna 'Jeshi la amani kwanza' linavyozima hoja za haki

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  4. JamiiForums Tanzania Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  5. JamiiForums Tanzania Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza ya kushindana na kina Ferrari na Porsche: Toyota GR GT!

    Kwema wakuu? December iliyokua inasubiriwa imefika. Toyota wamefanya yao. Kupitia department yao ya Gazoo Racing, Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza, wanayoiita GR GT, ambayo ni street-legal racing car. Hii supercar itapambana na magari ya kifahari kama Ferrari, Porsche, nk. GR GT ni 2...
  6. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Niffer baada ya kutoka gerezani

    Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake. Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendeleza kwa kuwa wa kwanza...

    Mama Samia. Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania. Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili. Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu. Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

    Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi. High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana. Mungu nipe wepesi.
  9. JamiiForums Tanzania Tanganyika wameshindwa kustahimili kile Zanzibar imepitia tokea siku ya kwanza ya muungano

    Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini. Hatuwezi fanya reconciliation...
  11. JamiiForums Tanzania Nani amemshikia Mawe MWIGURU mchemba?Samia alisema atatupa katiba mpya, MWIGURU kwanza ngiriba, utaliangamiza taifa

    Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm. Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa. Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Tanzania ndiyo ikawa nchi ya kwanza jeshi la wananchi kuingia vita na wananchi badala ya kuwatetea

    Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji. Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo. Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z Tanganyika: Phase ya kwanza ilikuwa wasanii, wameshamalizana nao

    Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. ! Hakuna drama tena Hakuna new followers tens Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z wameshamalizana nao! Phase 2 ni wanasiasa wa ccm..Top to bottom Watatengwa kwenye shida na raha Watanyimwa...
  15. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: SPIKA ambaye hakukumbukwa na Bunge la kwanza la Mwaka 2025 wakakumbukwa waandamanaji! MLIO hai na mpo bungeni, mu Mavumbi TU

    Kweli Job ndungai SPIKA mtepe mtepe ndiye aliyesaaulika mara hii kwenye Bunge la 2025 hata wabunge mshindwe KUSIMAMIA hata dakika Moja kumwombea Badala yake mliombea waandamanaji walio UAWA? NAWAMBIA nyinyi wabunge MLIO msaau haraka hivyo hata nyinyi mu mtepe mtepe mnaweza saaaulika haraka...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatuwezi dhibiti maandamano bila kumtosa Yona kwanza!

    Damu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!! Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda! Kuna watanzania Kwa Sasa wanasubiri TU parapanda ilie waende coz wameshakata tamaa ya kuishi baada ya maumivu Yale...
  19. C

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani sasa ile hoja yenu ya CHAMA KWANZA TAIFA BAADAYE mnaiona inavyowatafuna, msilalamike chini chini maana mliaminishana mnaikomoa CHADEMA

    Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…