kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

    Hebu tupeane experience. Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa aina hiyo kwa classy alokua anajiweka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi changu cha kwanza msimu unaomalizika kesho bongo

    1. Diarra kipa wa Yanga 2. Kevin Kijir wa Singida 3.Tshabalala Simba 4.Ibrahim Bacca Yanga 5. Che Fondoh Malone 6.Kevin Nashon Ihefu 7.Kibu Dennis Simba 8. Najim Magulu Tabora United 9.Feitoto azam 10.Aziz Ki 11.Kipre Junior
  4. JamiiForums Tanzania Mshangao: Imekuwaje Rais Ruto awe Rais wa kwanza kutoka Afrika kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani?

    Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita. Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

    Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi imekuwa ni kero sana

    Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  8. JamiiForums Tanzania Dini yetu ndiyo ya kwanza, Tunaheshimu Sanamu-hatu-abudu sanamu!

    Amri ya Pili katika Amri Kumi: Kutoka 20:4-5: "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvihudumia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu." Kukemea...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna USAWA WA KIJINSIA pasipo kwanza kuwa na USAWIA WA KIJINSIA

    ✍#GMdadisi Wengi tunachanganya na kujikuta tukipotosha zaidi kuhusu dhana ya usawa wa kijinsia kwa kutokujua vizuri. Bahati mbaya sana wengi wameaminishwa na wanaamini Usawa wa kijinsia (gender equality) inawahusu zaidi wanawake kuliko kundi lingine. Kuna USAWA WA KIJINSIA (Gender Equality)...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwa familia za kiislam mke wa kwanza na watoto huishi kwa hofu ya baba kuongeza mke, mda wowote mzee anaweza hamisha kambi mazima

    Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko. mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa mwanzoni hivyo hilo kosa linawadhuru na watoto. Kuna kisa humu mwana jf aliweka uzi baba yake ni ana...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

    Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza Rekebisheni mdomo , value man...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  14. JamiiForums Tanzania Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

    "Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata partial heart attack leo , nimludie prof Janabi kwanza

    nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza . Worse nipo late 20s . Sina hata mke wala mtoto Beer, liquor , kitimtoto , chips kuku Zege ...
  18. JamiiForums Tanzania Mnatuingiza kwenye nishati safi kama nchi ya dunia ya kwanza!

    Kabla ya kuanza kutuingiza wananchi kwenye kutumia nishati safi serikali ingejikita kwanza kwenye maisha ya watumiaji na mapishi yao, pia mpango huo usingefanywa kibiashara zaidi, ungezingatia kuangalia jinsi gani baadhi ya wananchi wangeweza kupata nishati ya gesi bila kutumia fedha mfano...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

    Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania tunge-host Formula 1 kwa mara ya kwanza

    Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix. Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time ilikua 1934 na last time ilikua 1993. Lewis Hamilton, amewahi sikika akisema ktk moja ya interview...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…