FURSA
Fursa ni mwanya, nafasi ama uwezekano wa kufanikisha jambo fulani (kwa minajili ya makala hii–tafsiri hii inatufaa).
Nikupe mfano:
Chukulia mmefungwa kwenye chumba, tuseme watu mia moja na dhima yenu hapo ni kutoka nje. Hata hivyo, kanuni inasema: “atakae toka basi anakuwa huru”. Chumba...