"Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" is a Swahili-language patriotic song about Tanzania in East Africa. The song's history and authorship is uncertain, but stretches back to the colonial days, when then it was sung as thus "Tanganyika, Tanganyika nakupenda kwa moyo wote."
It cannot be ruled out that it was part of an attempt to develop a national anthem towards the end of colonial rule before the South African lyrics version that was introduced and popularized by South African freedom fighters became adopted as anthem. The composition effort could have been coordinated by colonial officials in the last days of British colonialism in Tanganyika. It was changed to Tanzania, Tanzania after the formation of the Tanzanian union in 1964. In Tanzania it is frequently sung alongside the national anthem "Mungu Ibariki Afrika".
The song appears in the 2004 documentary Darwin's Nightmare in which a female sex worker sings the song to seemingly uninterested Russian pilots. Her name was Eliza and she was killed a few days after by an Australian client.
The song was performed in Australia for the fourth President of Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, when
he was awarded an Honorary Doctor of Philosophy from the University of
Newcastle.
Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001.
Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa.
Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji .
Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa.
Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana
https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni ngumu sana kumfananisha na mtu yeyote yule hapa Nchini na barani Afrika na pengine Duniani Kwote...
Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila unapojitambulisha kwa Kiswahili sahihi unatakiwa useme "kwa jina ninaitwa......" kisha unataja jina lako...