kuzingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  2. JamiiForums Tanzania RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI

    RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali kuzingatia Diplomasia ya Uchumi na Kuzitangaza fursa za Uwekezaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  4. JamiiForums Tanzania Ni mambo Gani ya kuzingatia ninapoanzisha kijiwe cha kuku choma? ChatGpt anijibu Hivi Kwa kina!

    Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa.. Shuka nayo hapa......
  5. JamiiForums Tanzania Mambo Nane ya Kuzingatia Ukienda Ukweni

    1. FANYA TAFITI NDOGO KUWAHUSU. Muulize mwenza wako kuhusu asili yao, namna wanavyoishi, nini unatakiwa ufanye na nini hutakiwi kufanya. Jifunze kusalimia kwa lugha yao kama sio ngumu sana, watafurahi kuona unajitahidi kuwa kama wao na hii itaonyesha ni kwa namna gani upo serious katika kujenga...
  6. JamiiForums Tanzania Nukuu Muhimu za kuzingatia

    NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA 1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.” — David Icke 2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili kumaliza mazungumzo, si kwa sababu wanamaanisha kuwa wamekosea.”...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielimu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa?

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mambo yapi ya kuzingatia katika uanzishwaji wa kiwanda?

    Habari wakuu Natumaini wote tulisoma kwenye zile shule zetu mambo mbali mbali, ikiwemo mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa kiwanda. Inawezekana yale tuliyoyasoma shule, tumeyaacha kule kule na sasa tupo miaka zaidi ya kumi kwenye kuajiriwa, bila kuwa na hata karakana ya kunolea mapanga na...
  9. JamiiForums Tanzania Ulega Aagiza Utekelezaji Miradi ya Ujenzi Kuzingatia Thamani ya Fedha

    ULEGA AAGIZA UTEKELEZAJI MIRADI SEKTA YA UJENZI KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameelekeza Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuhakikisha wanazingatia thamani ya fedha wakati wa utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo barabara, madaraja...
  10. JamiiForums Tanzania "Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

    Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi? Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako. Tunatoa huduma za ushauri kuhusu: 1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

    Tuweke unafiki pembeni tuongee ukweli, historia ya mwanamke ni kipengele cha kukizingatia sana, na ninachokoandika hapa ni moja ya sababu ya kwanini unatakiwa kuoa mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira Twende kwenye points 1. Daima atakulinganisha na wanaume wengine. Mwanamke ambae tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokunywa pombe na Malaya mwaka 2025

    Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:- 1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana. 2. Hakikisha umekula umeshiba na unywe maziwa fresh ya kutosha kabla ujaenda kulewa na malaya. Inasaidia kupunguza Kasi...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo Ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ujenzi

    Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi waaswa kuzingatia kuwapeleka watoto wao shule zenye malezi bora

    Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
  15. JamiiForums Tanzania Je unajiandaa na interview!? Fahamu vitu vya kuzingatia

    Leo tujifunze kuhusu interview au usaili Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto hasa ukiwa huna uzoefu na namna ipi ya kukabiliana na interview. Interview inaweza kukupanikisha kiasi cha kukosa amani kabisa na kukufanya ujihisi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea na Mkataba wa Adani wa Dola Milioni 95 kuendesha Gati za Bandari ya Dar Licha ya Tuhuma za Rushwa

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na tuhuma za utoaji hongo na udanganyifu, afisa mwandamizi wa Mamlaka ya Bandari amethibitisha. Wiki...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vitu vya kuzingatia na vya kutokufanya kwa Jeshi la Polisi wakati wa uchaguzi au kipindi cha Siasa

    Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani? Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi Majeshi yetu hayatakiwi kuchagua upande, majeshi yetu hayatakiwi kuonesha hisia zao wazi kisiasa...
  19. JamiiForums Tanzania Bila ushabiki, hebu wapange hawa wachezaji 1 hadi 3 kwa Kuzingatia ubora wao: Eto'o, Henry na Raul

    Moderator pliz edit heading
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…