kuzalisha umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    Nitatumia gesi asilia kuzalisha umeme zaidi ya megawatts laki 2 na huu ndio mpango mkakati wangu

    Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company...
  2. PendoLyimo

    REA yatoa zaidi ya bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji lupali

    REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 4 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI 📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98 📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati 📌Mradi kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki na mazingira 📍Njombe Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  4. B

    Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme eneo la Hai Kilimanjaro

    Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme wa Kikuletwa 1 eneo la wilaya ya Hai Kilimanjaro pamoja na.. MTAMBO MKUBWA WA UMEME UNAOWEZA KUHUDUMIA MAGHOROFA MIA MOJA WAANZA HAI, KAMATI YA BUNGE YAFIKA https://m.youtube.com/watch?v=srJl56ep138 mhandisi Dr. Robert Kabudi kiongozi...
  5. Fbn

    Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant).

    Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant) ni mtambo au mfumo wa viwanda unaotumia taka ngumu (kama vile plastiki, karatasi, mabaki ya chakula, na taka nyingine zisizoweza kutumika tena) kuzalisha umeme, joto, au nishati nyingine kwa njia ya mwako (incineration), gasification...
  6. W

    SI KWELI Msigwa amesema Tanzania inaongoza Afrika katika kuzalisha umeme

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  7. L

    Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  8. E

    Wakuu, naomba msaada nataka kutengeneza umeme kwa kupitia motor na dynamo

    Wakuu poleni na majukumu najua mnaendelea vizuri naomba kujua mara nyingi tumekuwa tukiona mtandaon umeme unazalishwa kwa motor zikiwa kwenye mzunguko na dynamo mara nyingi nimejaribu kufanya utafiti wangu wengine wamsema ni possible wengine wamekataa nimeshindwa kujua lipi jibu sahihi najua...
  9. Wakusoma 12

    Faida za bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere ni zipi ikiwa Bado wananchi tunauziwa unit kwa bei ileile?

    Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi kama tulivyoaminishwa shida nini wajomba?
  10. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya Kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua kwa kutumia Treni ikiwa kwenye mwendo wa kasi

    Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
  11. Tabutupu

    Kwenye barabara za mwendokasi, ifungwe mitambo ya kuzalisha umeme (windpower)

    Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita.. NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo...
  12. U

    Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa huko nchini Yemen na kusambaratisha kinu cha kuzalisha umeme na bandari

    Wadau hamjamboni nyote? Haipoi hadi ipoe Moto na moshi vimeonekana vikiongezeka kwa mbali katika video iliyorekodiwa Yemen kufuatia shambulio la Israeli kwenye bandari ya Hodeidah inayodhibitiwa na Wahouthi, Septemba 29, 2024. IDF imethibitisha kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya Wahouthi...
  13. T

    Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

    Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa. Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua. Tanzania inaweza kuzalisha umeme...
  14. F

    Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
  15. Roving Journalist

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope kukabidhi miundombinu ya umeme kwa TANESCO

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
  16. Analogia Malenga

    Mabwawa ya Tanzania hayajengwa kukabiliana na mafuriko, bali kuzalisha umeme tu

    Mto Rufiji, unaoishia katika pwani ya kusini-mashariki mwa Tanzania, ulikumbwa na wimbi kubwa la mafuriko Aprili 2024. Mafuriko haya yalisababisha vifo vya kusikitisha na kuathiri watu 88,000. Zaidi ya hekta 28,000 za mazao ziliharibiwa. Tanzania ina historia ndefu ya ujenzi wa mabwawa, kuanzia...
  17. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji. Nataka nimwambie Waziri Biteko kauli yake ya kuwa matumizi ni madogo SIYO KWELI bali ni kwamba UNIT...
  18. Lycaon pictus

    Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Hii ni orodha ya malambo kumi makubwa katika Afrika kwa kuangalia kiasi cha umeme yanachozalisha: 1. The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) – 6,450 MW -Ethiopia 2. Aswan High Dam – 2,100 MW-Misri 3. Cahora Basa Dam – 2,070 MW-Msumbiji 4. Gilgel Gibe III Dam – 1,870 MW-Ethiopia 5. Inga Dams...
  19. Suley2019

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...
  20. M

    Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
Back
Top Bottom