kuwajibika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  2. Pulchra Animo

    Watanzania Tujengeni Utamaduni wa Kuwajibika na Kuwajibishana: A lesson from Bulgaria!

    Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga. Inasikitisha kuona Serikali...
  3. Just Pray

    Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  4. Vincenzo Jr

    Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

    Mnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding? Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
  5. The Zanzibar Echo

    Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  6. Smartkahn

    Ni nini na lini hatima ya wasiojulikana na utekaji, nani anapaswa kuwajibika katika wajibu wake... Wananchi wanahaja ya kupata ufafanuzi yakinifu

    Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya. Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika; "Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
  7. Dalton elijah

    Tovuti za baadhi ya Halimashauri Nchini zijitathimini na kuwajibika

    Ukienda kutazama tovuti za Baadhi ya wilaya nchini Tanzania utakuta taarifa za mwaka 2022, jambo ambalo linakatisha tamaa na kutoa taswira mbaya kwa halimashauru husika inawezekanaje mwaka 2025 unakutana na taarifa za mwaka 2022 hiyo inaonesha kuwa wasimamizi wa hizo tovuti hawatendi haki wala...
  8. Kibosho1

    Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  9. ngara23

    Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

    Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali, Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9, Hadi siku ya...
  10. Kitimoto

    Rais wa Russia Vladimir Putin Aomba Msamaha kwa Ajali ‘Mbaya’ ya Shirika la Ndege la Azerbaijan bila Kukiri Kuwajibika

    Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika. Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
  11. Waufukweni

    Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  12. Damaso

    Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  13. Victor Mlaki

    Acha lawama, ni wewe ndiye unayepaswa kuwajibika juu ya maisha yako

    Leo tunakuzwa katika misingi ya kujitetea na kukwepa kuwajibika karibu katika kila eneo. Hatujifunzi na hatutaki kukubali kuwa tunapaswa kuwajibika asilimia mia moja juu ya maisha yetu na badala yake tunawatafuta wa kuwatupia lawama. Ni kweli yapo mambo mengi yanayoweza kutokea nje ya uwezo etu...
  14. Natafuta Ajira

    Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

    Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano. 1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea...
  15. M

    Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.? Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
  16. GoldDhahabu

    Tuacheni kujitetea kwa kutokujua Kiingereza. Tukubali kuwajibika

    Kwenye Biblia, Adam alipoulizwa kwa nini kala tunda alilokatazwa, alijitetea kuwa si kosa lake, bali kashawishiwa na mke wake. Ingelikuwaje kama angelikubali kosa na kuomba msamaha? Daudi alipofahamu kuwa kagundulika kuwa alimwua Huria baada ya kuzini na mke wake, hakujitetea kuwa ni mke wa...
  17. Victor Mlaki

    Mzunguko wa lawama: Uwanda wa kujiliwaza na kuacha kuwajibika

    Mchezo wa lawama "blame game" ni kama mzunguko wa umasikini "vicious cycle of poverty" Mtoto anamlaumu Baba, Baba anamlaumu Babu, Babu anawalaumu Wahenga, Wahenga wanailaumu Mizimu n.k. Ukiuangalia mkururo wa lawama "blame chain" hakuna anayebaki salama ndiyo maana katika mzunguko wa umasikini...
  18. winky

    TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  19. GENTAMYCINE

    Tunakumbushana tu Sherehe ni tarehe 1 Januari, 2024 na tarehe 2 Januari, 2024 Mabosi wanatuhitaji tukaendelee Kuwajibika Maofisini sawa?

    Sasa Wewe Gambeka ( Lewa ) sana tarehe 1 Januari, 2024 ukidhani Sherehe ipo hadi tarehe 2 Januari, 2024 kisha tarehe 3 ukienda Kazini ukute tayari Nafasi yako imeshazibwa na Mfanyakazi mpya uanze Kulia na kuanza Kuhangaikia kutafuta Wahubiri mbalimbali Wakuombee ili urejee Kazini au uanze kukita...
  20. Msanii

    Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?

    Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao. RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika...
Back
Top Bottom